habari

Ajali Mbaya, Lori Lawaka Moto Mlima Sekenke.

on

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Deborah Magiligimba, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo majira ya saa nne na nusu asubuhi  na kueleza kuwa watu wawili wamefariki, na kwamba bado majina yao hajatambulika mara moja.

Gari iliyopata ajali hiyo ni Flight Liner lenye namba za usajili T167 DTC  na treiler T 960 ALS mali ya Petromac Africa Dar es Salaam.

Taarifa zinasema gari hilo liliacha njia na kupinduka kisha kulipuka na kusababisha moto mkubwa uliopelekea vifo vya watu hao. Taarifa nyingine zinasema kuwa idadi ya waliokpoteza maisha katika ajali hiyo ni watu wanne.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *