michezo

Arsene Wenger Amepata Heshima Ya Mwisho Katika Mechi Ya Arsenal Nyumbani

on

Arsene Wenger  kapewa heshima ya mwisho mbele ya mechi kati ya Arsenal na Burnley siku ya Jumapili alasiri, Ni mechi yake ya mwisho akiwa katika uwanja wake wa nyumbani kama kocha wa asernal.

Wenger alitangaza  kuwa ushirikiano wa miaka 22 na Arsenal utafikia mwishoni mwa msimu huu wa sasa.

Wenger alipewa mapokezi ya ajabu kutoka kwa watu wa Emirates kwa mara ya mwisho uwanjani hapo.

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *