michezo

Asernal Yatupwa Nje Ya Mashindano Ya EUROPA Ligi Kwa Kichapo cha 1-0 Toka kwa Atletico na Kufanya Matokeo Kuwa na Jumla Ya 2-1.

on

Atletico Madrid wamefika final ya ligi ya EUROPA baada ya kuifunga timu ya Asernal katika uwanja wao wa nyumbani kupitia mchezaji wao Diego Costa, Na kusonga mbele kwa idadi ya gori (2-1).

Kwa matokeo haya ni dhahiri kuwa Asernal haitoshiriki tena katika michuano ya mabingwa ulaya kwa msimu ujao.

Pamoja na kupata matokeo mabovu juu ya Atletico timu ya Asernal imepata pigo lingine kwa mchezaji wao Laurent Koscielny kuumia vibaya  sana kiasi kwamba hatoweza tena kushiriki katika kombe la dunia.

Na

-Innocent Chambi-

About Innocent Chambi

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *