habari

Bofya Hapa Kuisoma Ripoti yote ya Mwaka 2017/2018 ya CAG Prof. Assad

on

Leo Jumatano,  April 10, 2019 Tovuti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imechapisha Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Juu ya Taarifa za Fedha za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.

Bonyeza Hapo chini kuisoma

《《RIPOTI YA CAG MWAKA 2017/2018》》

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *