simulizi

Bongo Hapo Zamani: Nasser Nassa Mnondwa Amejibu Kwa Usahihi.

on

 

Pichani ni Mzee Mangala Tabu Mangala akiongea na Mwalimu.

Alipata pia kuwa Kiongozi wa Yanga. Kiserikali alikuwa Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali (Government Press).
Huyu alikuwa bosi wa mama yangu mzazi ambaye naye alifanya kazi Government Press.
Ni mmoja wa viongozi waadilifu wa enzi za Mwalimu. Aliiongoza Yanga pia kwa uadilifu mkubwa.
Atakumbukwa, Marehemu Mzee Mangala Tabu Mangala.

Hongera pia Nasser Nassa Mnondwa! (Pichani)

Na Maggid Mjengwa.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *