habari

Bongo Zamani Kidogo

By

on

Bongo Zamani Kidogo: Fadhy Mtanga…!

Pichani kulia. Alikuwa ni mmoja wa vijana waliofanya kazi na Mwenyekiti Kwanza Jamii/ Mjengwablog Iringa. Kupitia KwanzaJamii/ Mjengwablog, Fadhy Mtanga alipata fursa ya kuwa mmoja ya wanahabari kumi Tanzania waliohudhuria mafunzo maalum ya uandishi wa habari zenye kuhusu rasilimali zetu yalioandaliwa TMF na Taasisi ya Mazingira. Fadhy amekuja kutokea kuwa mwandishi mahiri si kwa sababu ya KwanzaJamii/ Mjengwablog, bali jitihada zake za kuyatafuta maarifa tangu akiwa shuleni. Mwenyekiti wenu nilikiona kipaji chake na nikampa fursa kujiongeza. Na bado tunashirikiana kwa karibu.

Swali kwa Fadhy, je unawakumbuka wengine pichani?

Maggid.

About mjengwa

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *