michezo

Breaking News: Arda Turan Afungiwa Michezo 16 Kwa Kumsukuma rasmeni.

on

Arda Turan amefungiwa kucheza mechi 16 Uturuki baada ya kumsukuma afisa wa mechi.

Mchezaji huyo wa mkopo kutoka Barcelona kwenda  Turuki Super Ligi upande wa Istanbul Basaksehir hadi 2020, alikasirishwa na uamuzi uliofanywa na msaidizi wakati wa mechi ambapo walipata droo ya 1-1 na Sivasspor  Ijumaa. Arda atapoteza nafasi kubwa ya kucheza msimu wa 2018-19. 

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *