michezo

Breaking News: Deulofeu Amethibitisha Kuwa Hatorudi Barcelona

on

Mchezaji Deulofeu wa klabu ya Barcelona aliepelekwa kwa mkopo katika klabu ya Watford amethibitisha kuwa hatorudi katika klabu yake ya zamani mwisho wa msimu huu.

Sababu yakufikia maamuzi hayo ni uwingi wa namba za wachezaji wanaocheza katika nafasi hiyo  ndani ya clabu ukilinganisha na club ya Watford.

Javi Gracia amemwambia kuwa anamuhitaji mchezaji huyo abaki ndani ya klabu na ni wazi kuwa hatoweza kurudi tena katika klabu yake ya Barcelona ambayo alikuwa nayo tokea anamiaka 9.

Na

-Innocent Chambi-

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *