michezo

Breaking News: Juventus Wako Kwenye Makubaliano Mazuri Ya Kumsajili Beki Wa Kulia Wa Arsenal

on

Timu ya Juventus imeripoti wako katika mazungumzo ya kumsajili beki wa kulia wa Arsenal (Hectol Bellerin) kwa kiasi EURO 50m.

Arsenal wako tayari kupokea ofa inayokaribia Euro 50m ambayo waliikataa kuipokea ofa hiyo kutoka kwa klabu ya Bacelona ya Hispania msimu uliopita.

Timu ya Juventus ilikua ikimfatilia Bellerin tangu walivyompoteza Dan Alves kwa Paris Saint-German msimu uliopita.

-Innocent Chambi-

About Innocent Chambi

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *