We have 146 guests and no members online

IMG_8160

Diamond Platnumz with his dancers!

IMG_8167

...Onanana baby oh onananana baby oh onanana onananananana Baby oh onanana baby oh onananana baby oh onanana onananananana Kama nguna ntakulaga (mmhh) tukipata burger (mmhh) tukikosa dagaa (mmhh) Njaa nitalala nayo (oyorima) mirungi kwa kusaga (mmhh) mbege kwa wachagaa (mmhh).

IMG_8255

sankoro sankororo sankoro sankororo Tanzania sankoro sankororo tah (oyorima) Kama Ronaldo Nigeria sankoro sankororo (umunwanyi) sankoro sankororo (everybody) Sankoro sankororo taah! Kama Ronaldo...(P.T)

Posted On Thursday, 10 September 2015 03:55

Posted On Thursday, 10 September 2015 03:36

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU- Ughaibuni inatategemewa kufanya onyesho maalumu katika Grande VIPsiku ya jumamosi 12 Septemba 2015,kule katika kisiwa cha mabwanyenye Marbella,kilichopo Spain. bendi hiyo imealikwa na VIP Yatch Club ya Marbella.

Usikose kuungana nao at www.facebook.com/ngomaafricaband (P.T)

Posted On Wednesday, 09 September 2015 13:47

PICHA NO.6

Kikundi cha burudani cha Da Hustler Dancers cha mkoani Morogoro kikifanya onyesho katika Bonanza la Tigo Corporate Event lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Solomon Mahlangu Morogoro.

PICHA NO7

Mchezaji wa timu ya netball ya St. Joseph, Salome John akifunga doli katika mchezo wao dhidi ya timu ya tigo. Kwnye mchezo huo Tigo walilala kwa vikapu 5-0.

PICHA NO.4

Meneja wa Tigo mkoa wa Morogoro na Tanga, Abasi Abel akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi Chipolopolo katika ufunguzi wa bonanza la Tigo Corporate Event mkoani Morogoro.

PICHO NO 9

Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya  Sua  Basil Goal Geter akifunga goli kwa njia ya adhabu ndogo katika mchezo dhidi ya  polisi chipolopolo, katika bonanza hilo timu ya Sua iliibika na ubingwa  kwa kuwafunga Polisi kwa penati  6-5 baada ya dakika tisini kumalizika kwa sare ya goli moja moja.

Posted On Tuesday, 08 September 2015 21:35

K.O (Hoodie)

The multi award-winning artist K.O with hit single Caracara is to tour Dar es Salaam from the 13th to the 17th of September 2014. In his tour the artist will look into forming collaborations with local Tanzanian artists. K.O has already collaborated with leading female Tanzanian artist Vanessa Mdee in their hit song “Aint No Body”. He will use his stay in the country to tour various media houses and host strategic meet and greet sessions with Tanzanian artists and various stakeholders within the music industry.

This is K.O’s first tour of Tanzania is touring Tanzania as part of his East Africa tour. He is expected to visit Kenya right after Tanzania and perform at the Ebony lounge in the Nairobi Westlands. K.O expressed his desire to spread his music to East Africa and also gain new partnerships and collaboration within the regions.

“Tanzania is quickly becoming the hub of the new African sound. The artists here are extremely talented a good number of them have managed to gain international recognition. I am looking forward to exploring the opportunities available to create new music with my fellow artists from Tanzania”, he said.

Posted On Tuesday, 08 September 2015 21:20

Posted On Tuesday, 08 September 2015 03:31

JamboSquad&Linex500

Wasanii wa kundi la Jambo Squad kutoka Arusha wamethibitisha kauli ya kuwa muziki unalipa baada ya kufungua mgahawa jijini humo.

ambo Squad wamedai kuwa licha ya kuonekana wanafanya muziki wa tofauti, wameweza kupiga hatua kimaisha.

“Sisi ni watoto wa uswahilini, tumelelewa uswahilini so maisha tunayajua,” waliiambia XXL ya Clouds FM.

“Sisi ni watu wa biashara sio kukaakaa tu. Ila kwa sasa hivi tumeamua tuanzishe sehemu ambayo itatukutanisha na watu wetu ambayo ni Café. Ni biashara ambayo itaingiza pesa kila siku, ndio tukaamua kufungua Cafe. Ipo maeneo ya Sakina, ambapo ni karibu na Jambo Squad Camp.”

Wamedai kuwa mgahawahi huo umewagharimu fedha nyingi kuuanzisha.

Posted On Monday, 07 September 2015 04:47

Eddy-Kenzo

Tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zimetolewa usiku wa Sept .6 huko New York nchini Marekani, lakini safari hii bahati ya ushindi haikuwa kwa msanii wa Tanzania aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo hizo.

Msanii wa Uganda, Eddie Kenzo ndiye aliyeibuka mshindi wa kipengele cha ‘African Artist of The Year’ ambacho kilikuwa ni maalum kwa wasanii wasio Wanigeria.

Wengine waliokuwa wakiwania kipengele hicho ni pamoja na Diamond, Sauti Sol (Kenya). Sarkodie (Ghana) na Stoneboy (Ghana).

Posted On Monday, 07 September 2015 04:43

RAMSEYNOAHINTERVIEW

Muigizaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, Ramsey Nouah.

Muigizaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, Ramsey Nouah amekaririwa akisema kuwa, yuko tofauti kabisa na wasanii wenzake wa nchini humo wanaokimbilia kwenye siasa kila kukicha na kuongeza kuwa mashabiki wake wasitegemee Ramsey kujiunga na siasa.

Akifanyiwa mahojiano maalum na mtandao wa NET wa nchini humo, Ramsey alisema kuwa: ‘Sijui jinsi gani naweza kuwa mwanasiasa, mimi sio mwanadiplomasia kivile. Sijui namna ya kuyapangilia maneno yakafana kama wanasiasa wanavyoweza kufanya. Mimi siko hivyo’.

Na NaijaGists.com (P.T)

Posted On Sunday, 06 September 2015 03:58

150904

The Sheraton Hotel Addis Ababa, Front Entrance.

A survey of prices of international grade hotels in selected major African cities has revealed that Addis Ababa is the most expensive place for a good night’s sleep

A survey of prices of international grade hotels in selected major African cities, produced by hospitality research firm STR Global (https://www.strglobal.com), ahead of the Africa Hotel Investment Forum (AHIF) (http://www.Africa-Conference.com), taking place at the end of September, has revealed that Addis Ababa is the most expensive place for a good night’s sleep.

The average rate in US$ (constant currency) for a hotel room in the first six months of this year in Addis Ababa was $231.78/ night.  This compares with $215.75 for a room in Lagos, $144.76 in Nairobi, $122.30 in Cape Town, $105.73 in Casablanca, $103.54 in Cairo, $72.90 in Johannesburg and $70.70 in Sharm El Sheikh.

Posted On Saturday, 05 September 2015 11:01

A&E_0005

Mkuu wa vipindi channel ya A & E Networks, Racheal Job akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice nchini Mauritius. Katikati ni Mkurugenzi wa Kanda channel ya A & E Networks, Anthea Petersen na kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano channel ya A & E Networks, Sarah Williams-Robbins.

A&E_0038

Mkuu wa Mawasiliano channel ya A & E Networks, Sarah Williams-Robbins akifafanua jambo kwenye jukwaa lililowakutanisha waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbalimbali za Afrika nchini Mauritius.

A&E_0045

Ebenezer Donkoh kutoka YFM Ghana akiuliza swali katika mkutano wa waandishi wa habari ulionadaliwa na MultiChoice Africa.

Posted On Saturday, 05 September 2015 07:37

Kushoto ni tuzo aliyochukua Diamond Platnumz.

MKALI wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo zilizotolewa na Uganda Entertainment. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond amewashukuru mashabiki wake waliompigia kura na kufanikiwa kutwaa tuzo hiyo pamoja na kuwaomba waendelee kumpigia kura katika vipengele vingine ambavyo anawania tuzo mbalimbali.

Diamond Platnumz.

Alichokiandika Diamond baada ya ushindi huo:

Posted On Saturday, 05 September 2015 03:45
Page 8 of 54

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu