We have 154 guests and no members online

DSCF9960 a5848

Posted On Monday, 07 January 2013 03:28

IRINGA 07944

Fainali za mashindano ya Miss Utalii Tanzania na mchakato wa kuwapata wawakilishi wa mikoa katika Fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania umekamilika katika mikoa yote ya Tanzania.

Posted On Sunday, 06 January 2013 10:13

UONGOZI wa Shirika ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) umesema unaandaa safari ya kitalii katika Hifadhi ya Selous maalum kwa Siku ya Wapendanao ‘Valentino’ itayofanyika Februari 14 kila mwaka.

Sababu hasa za kufanya hivyo ni kutokana na mafanikio iliyopata katika safari iliyofanyika Desemba 29 mwaka jana katika kukamilisha sherehe za Sikukuu za mwisho wa mwaka.
Katika safari iliyopita iliyojumuisha wafanyakazi wa kampuni moja ya habari ilipokewa vizuri na watu wengi ambao waliwashukuru viongozi wa Tazara kwa kuwapa nafasi hiyo licha ya kuwa walichelewa kutoa taarifa ya kuwepo kwa safari hiyo.

Posted On Wednesday, 02 January 2013 19:21

TFF df3a1Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja wachezaji 22 watakaoingia kambini Januari 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi za kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya mashindano dhidi ya Morocco itakayochezwa Machi mwaka huu.

Posted On Wednesday, 02 January 2013 02:29
Naibu Waziri Aongea Na Wadau Wa Filamu
 Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Amos Makala akiongea na wadau wa tasnia ya filamu kuhusu urasimishaji wa tasnia ya filamu nchini
 Benjamin Sawe  : Afisa Habari...
Posted On Saturday, 29 December 2012 16:44
Azonto Night...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22

 

Jocelyine Alipoibuka Mshindi Miss East Tanzania

Jocelyne Maro Mii East Africa Tanzania akipunga mkono kwa mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam akiwashinda warembo wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Ukanda wa Afrika Mashariki na nchi Jirani na Ukanda huo.

Jocelyne Maro...

Posted On Saturday, 22 December 2012 13:46
Page 54 of 54

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu