We have 153 guests and no members online

Items filtered by date: March 2013

 

1Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha Polisi Mji mpya wa mabwepande, Wilaya ya kinondoni Jijini  Dar es salaamu.

Published in Jamii

 

DSC_0107Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambw aakiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 200 moja ya washindi wa medani ya fedha Sharon Hamis (wakwanza kushoto) na Fatma Jeddah (wapili kutoka kushoto) kutoka shule ya wasichana ya Feza

Published in Jamii

 

photo5 5a214

 

Na: Happy Lazaro- Arusha.

Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amefanikisha kukusanywa kwa Sh85 milioni katika harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana, mkoani Arusha. Harambee hiyo iliyofanyika juzi, iliandaliwa na Umoja wa Waendesha Pikipiki (Uwapa) wa Jiji la Arusha. Akizungumza katika harambee hiyo, Lowasa ambaye pia

Published in Jamii

 

 Dereva  wa daladala  ambae  jina lake  halikuweza  kupatikana mara moja akiwa ameshika panga mkononi akitoka kumkoromea dereva  mwenzake aliyetaka kumsababishia ajali kwa kumchomekea  eneo la Mshindo mjini Iringa  leo. PICHA NA MAELEZO FRANCIS GODWIN

Published in Jamii
Monday, 18 March 2013 06:15

MAGAZETI LEO JUMATATU

DSCF2173 9610e

Published in Magazeti

Kampeni Kabambe ya kuitangaza Bia ya SerengetiLager inayozalishwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) ijulikanayo kama TUPOPAMOJA KATIKA SHANGWE ZA MAFANIKIO imelitikisa mitaa na vitongoji vya jiji la Dar es Salaam jana. Huku pakiwa na

Published in Burudani
Monday, 18 March 2013 06:00

WAANGOLA KUCHEZESHA MECHI YA STARS

 

tff_LOGO1

 

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeteua waamuzi kutoka Angola kuchezesha mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas). Mechi hiyo ya kundi C itachezwa Machi 24 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ivory Coast ndiyo

Published in Michezo
Monday, 18 March 2013 05:55

WAZIRI MKUU AONGOZA HARAMBEE

 

IMG_0138Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa mkewe Tunu wakiwahamasisha waumini  wa kanisa katoliki la Magomeni jijini Dar es salaam kuchangia ukarabati wa kanisa lao wakati alipohudhuria ibada kwenye kanisa hilo Machi 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Published in Jamii

12 0ce0d


Ndugu zangu,

Mafalisayo walimshangaa Yesu, wakatamka; " Hivi ni Yesu huyu huyu mwana wa Joseph fundi Seremala!"

Naam, duniani hapa usimwangalie mtu pale alipofikia sasa kwenye safari yake. Angalia alipoanzia safari yake. Pitia kwenye nyayo zake. Ndipo hapo unaweza kupata cha kujifunza.

Ni Neno Fupi La Asubuhi Hii. Good Morning!

Maggid Mjengwa,
Iringa.

Published in Jamii
Monday, 18 March 2013 02:34

WAKULIMA WA MITI HAWA...!

100 5691 f5252

Wakulima wa miti wakipeleka miche ya miti shambani, ni kijiji cha Igeleke tarafa ya kibengu,Mfundi hivi karibuni

Published in Jamii
Page 16 of 48

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji