We have 347 guests and no members online

WAUGUZI KUADHIMISHA SIKU YAO UDSM

Published in Afya

NR 6dfad

                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                            Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujitokeza katika maadhimisho ya siku ya wauguzi dunia  itakayofanyika  kimkoa katika viwanjwa vya chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanzia siku ya Jumamosi tarehe 11 na kufikia kilele tarehe 12 mei 2013.

Read more...

Chanjo ya Ukimwi yaonyesha mafanikio

Published in Afya

mwinyi2 a0a18

Dkt. Hussein Mwinyi

 

Matokeo ya awali ya chanjo ya dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi yaliyofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yameonyesha kuwa chanjo hiyo ni salama na ina uwezo wa kusisimua mwili na kuzalisha viini kinga katika dozi ndogo.

Read more...

Mlipuko wa Kanisani Arusha: saba wapelekwa dar kwa matibabu zaidi

Published in Afya

dar e2414

JK akiwafariji majeruhi

Mahmoud Ahmad Arusha
Wagonjwa saba ambao ni majeruhi wa mlipuko wa bomu kwenye kanisa la Joseph Mfanyakazi eneo la Olasiti jijini Arusha wamehamishiwa kwenye Hospitali za Muhimbili na LUgalo jijini Dar es Salaam.

Read more...

wagonjwa 3,411 watibiwa saratani

Published in Afya

 

mwinyi 7dd5b

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi

 

WAZIRI wa   Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa   jumla ya wagonjwa wapya wa saratani 3,411 wamehudumiwa na Taasisi ya Saratani Ocean Road.

Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni mjini Dodoma wakati Waziri huyo akiwasilisha hotuba yake  kuhusu  Makadrio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka 2013/2014  ya sh. 753,856,475,000 ambapo  aliomba Bunge lijadili kuidhinisha.

Read more...

Gnld kulipia bidhaa kwa m-pesa

Published in Afya

001.GNLD a0125

 

Vodacom Tanzania Corporate Communications Manager, Rukia Mtingwa (left) listens keenly to Grace Rubambey,GNLD World Team Director soon after Vodacom Tanzania entered into an agreement with GNLD. The agreement will see GNLD customers pay for products through M-Pesa.

Read more...

DKT. BILAL AONANA NA UJUMBE KUTOKA WIZARA YA AFYA

Published in Afya

20 2f227

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, uliofika Ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2013 kwa mazungumzo.

Read more...

OWM YAPOKEA TUZO YA UTOAJI HUDUMA BORA WA AFYA NA USALAMA KAZINI

Published in Afya

 

DSC01314Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Tuzo ya Utoaji huduma bora ya   Afya na Usalama kazini kwa niaba ya  Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutoka kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundentia Kabaka katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duaniani kwenye uwanja wa Shikh Amri Abeid , Arusha Aprili 28, 20113.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Read more...

Rais Dk. Shein azindua Kikwajuni Saccos Bank

Published in Afya

 

DSC_4529bunge wa Kikwajuni, Hamad Yusuf Masauni akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati uzinduzi wa Kikwajuni Saccos Bank, hafla iliyofanyika jimboni humo wiki iliyopita.

Read more...

 

2Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya akizungumza na timu ya madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Taasisi ya Mifupa (MOI) mara baada ya kumalizika kwa zoezi la kuhudumia mamia ya wagonjwa katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni mkoani humo

Read more...

DK. MWINYI AWATAKA WANANCHI KUJENGA TABIA YA KUPIMA UGONJWA WA KISUKARI

Published in Afya

 

1

                              Dk. Hussein Mwinyi

NA MAGRETH   KINABO – MAELEZO

IMEELEZWA kwamba  inakadriwa  kuwa asilimia saba ya idadi ya watu wazima wanaugua ugonjwa wa kisukari, lakini chini ya 1/3  ndio wanaofahamu  wana tatizo hilo. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein   Mwinyi wakati akizindua kliniki  ya vikoba ya wagonjwa wa kisukari uliofanyika  kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dares Salaam. Dk. Mwinyi alisema watu wanaokabiliwa na tatizo hilo, wanafika hospitalini wakiwa  wameathirika figo, macho, shinikizo la

Read more...

WANAnCHI WAHAMASISHWA KUWAPELEKA WATOTO chanjo

Published in Afya

 

DSC_0441

Mratibu wa Chanjo ya Kinamama na Watoto Yussuf Haji Makame alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichan) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Chanjo kwa upende wa Bara la Afrika yanayoendelea nchini kote..Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

Na: Maelezo Zanzibar

Wananchi wametakiwa kuwapeleka Watoto wao kupata Chanjo za kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Chanjo Barani Afrika.Wito huo umetolewa na Mratibu wa Chanjo ya Kinamama na Watoto Yussuf  Haji Makame alipokuwa akizungumza na

Read more...

Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA