We have 344 guests and no members online

Uchambuzi Wa Habari: Mtanzania Kuwa Waziri Rwanda...!

RAIS Paul Kagame 


Ndugu zangu,
Imeripotiwa kwenye Mwananchi. Kwa mtazamo wangu, hii si habari kubwa. Huyo aweza kuwa alikuwa Mtanzania mwenye asili ya Rwanda. Hivyo , kaurudia Unyarwanda wake. Hapa hakuna cha ajabu, hakuna habari pia kubwa pia.Na Watanzania wa aina hiyo tunao wengi, wengine tumesoma nao. Habari ingekuwa kubwa kama Mtanzania wa kabila la Kichaga, Kinyamwezi na mengineyo amekuwa Waziri Rwanda. Mfano, 'Mtanzania Profesa Ibrahim Lipumba awa Waziri wa Fedha Rwanda!'
... Ni baada ya kuchukua uraia wa Rwanda.

Na habari ziko nyingi... au?

Maggid,
Iringa
http://mjengwablog.co.tz/

HEADER

Guest
0Guest2013-03-01 02:07#1
Acha ukabila na ubaguzi mkuu! mtanzania ni mtanzania tu awe mchaga au mkwere au mhaya au yule mtanzania mwenye asili ya Rwanda au India !
Suala hapa la kujiuliza ni kwanini watanzania wataalam kama yeye wanaamua kuuacha uraia wao na kwenda kuwa raia wa nchi nyingine???? Mkuu hapo utaona kwa haraka haraka kuwa watanzania wengi hasa wataalam wamechoshwa na utawala mmbovu wa serikali ya Tanzania chini ya JK na siasa zake za mizaha mizaha ambazo haziweki mazingira mazuri ya wataalam kufanya kazi zao.
Rwanda ni nchi masikini tu ILA SERIKALI YAO CHINI YA UTAWALA WA PAUL KAGAME HAUTAKI MCHEZO MCHEZO HASA IKIFIKA KWENYE SUALA LA MAENDELEO YA NCHI YAO.!!
Mnukuu
Guest
0Guest2013-03-01 05:27#2
Mjengwa as usual you are missing the big picture. All of us came from somewhere. Makonde came from the South, Bahaya from Uganda but we all settled in Tanzania/Tangan yika. This is the same as Silas Lwakabamba. It is big deal wether you like it or not. Get out of your inferiority self and report the news. Your opinions are dangerous and off mark. This man grew up here, his kids grew up here, his parents served this country. He worked at U of DSM and graduated many of the fine engineers that Tanzania has. So, it is a big deal. We all Tanzanians salute and congratulate him whether you like it or not.
Mnukuu
Guest
0Guest2013-03-01 19:12#3
Hili siyo suala la ukabila, huwa kuna watu wengine wapo Tanzania kinyemela au kwa maslahi fulani wanaporudi kwao wanapata nyadhifa fulani kwa sababu ni raia wa nchi hizo. Mfano Marehemu Laurent Kabila na mwanaye rais wa DRC Joseph Kabila Walikuwa wakijulikana kuwa ni wa Tanzania lakini kumbe si hivyo.
huyo Professor Lwakabamba kurudi kwao na kupewa uwaziri sishangai kama ilivyokuwa kwa kina Kabila. Ila kinachonitatiza ni kile cha kupewa uraia mara ya pili ili kutudanganya wa Tanzania. nchi hii ina wengi wasio raia lakini wanajificha na kujiita wa Tanzania..... hivyo yatupasa tuwe macho.
Mnukuu
Guest
0Guest2013-05-20 00:13#4
siyo huyo tu wengine wamekaa kwenye majeshi na sasa wamerejea kwao
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA