We have 309 guests and no members online

Neno Fupi La Asubuhi Hii; Ni Heri Ya Mkono Mmoja Unaokufuta Machozi Wakati Wa Huzuni, Kuliko Mikono Elfu Moja Inayokushangilia Kwenye Mafanikio..

Photo: Neno Fupi La Asubuhi Hii; Ni Heri Ya Mkono Mmoja Unaokufuta Machozi Wakati Wa Huzuni, Kuliko Mikono Elfu Moja Inayokushangilia Kwenye Mafanikio..
Ndugu zangu, 
Kwenye hali ya huzuni  mwanadamu anahitaji faraja ya wanadamu wenzake. Na hata kama ni wachache tu watakaojitokeza kumfariji mwanadamu aliye kwenye huzuni, basi, mwanadamu huyo hufarijika sana. Hata iwe kutoka kwa mtu mmoja tu. Kwake ni heri ya mkono huo mmoja unaomsaidia kumfuta machozi kuliko mikono elfu moja inayomshangilia kwenye mafanikio.
Na tujitahidi kuwafariji wanadamu wenzetu walio kwenye matatizo. Ni Neno Fupi la asubuhi hii.
Maggid Mjengwa,
Msamvu, Morogorogo.

HEADER

Guest
+1Guest2014-01-23 07:25#1
ENOCK DULE IBADA NI KUWAONA WAGOJWA WANAOISHI MAZINGILA MAGUMU
Mnukuu

Tuma Maoni

Security code

Anzisha upya

Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA