We have 435 guests and no members online

Itafakari Picha Hii Leo Kwenye Siku Ya Wanawake Duniani...

Photo: Itafakari Picha Hii Leo Kwenye Siku Ya Wanawake  Duniani...
Ndugu zangu,
Media wakati mwingine inachangia sana kwenye  kuwadhalilisha wanawake. Ukiangalia picha ndogo kulia ni ya kumdhalilisha mwananmke. Unashangaa mhariri alikuwa wapi kushindwa kuona ujinga huo. 
Kwa sisi watu wa mpira tunajua dunani kote viwanjani washabiki hutokea kutamka maneno ya matusi. Lakini, matusi ya mpirani huishia mpirani baada ya dakika 90 za mchezo.
Naona siku hizi yanaongezeka mabango yenye maneno na picha kinyume na maadili yetu. Kwa wahariri kuchapicha picha na maneno hayo ni kuanza kushabikia tabia hiyo mbaya. Tubadilike, maana, hata unapoona picha ya mwananmke kwenye safu ya michezo, basi, mara nyingi ni ya mchezaji wa tennis, na hapo mhariri atakuwa amevutiwa zaidi na mapaja ya mcheza tennis na si umahiri wake. Shame on us.
Maggid, 
Msamvu.


Ndugu zangu,
Media wakati mwingine inachangia sana kwenye kuwadhalilisha wanawake. Ukiangalia picha ndogo kulia ni ya kumdhalilisha mwananmke. Unashangaa mhariri alikuwa wapi kushindwa kuona ujinga huo.
Kwa sisi watu wa mpira tunajua dunani kote viwanjani washabiki hutokea kutamka maneno ya matusi. Lakini, matusi ya mpirani huishia mpirani baada ya dakika 90 za mchezo.Naona siku hizi yanaongezeka mabango yenye maneno na picha kinyume na maadili yetu. Kwa wahariri kuchapicha picha na maneno hayo ni kuanza kushabikia tabia hiyo mbaya. Tubadilike, maana, hata unapoona picha ya mwananmke kwenye safu ya michezo, basi, mara nyingi ni ya mchezaji wa tennis, na hapo mhariri atakuwa amevutiwa zaidi na mapaja ya mcheza tennis na si umahiri wake. Shame on us.
Maggid,
Msamvu.

 

 

HEADER

Guest
0Guest2013-03-08 09:09#1
Imekuuma eenhee!!!au ni kwa sababu Simba bint Libolo wametumiwa salam kupitia hilo bango?Mimi sijaona kosa lolote la mhariri kuhusiana na hiyo picha.Mbona hukuchapisha zile picha ambazo zilikuwa zinamwonesha mnyama akiwa anamsindikiza bint aliyevaa mavazi ya njano na kijani kipindi kile mliposherehekea kuwafunga watani?Kukumbus ha tu,kuna picha nyingine ile ya Simba kapakatwa,tunao mba nayo ichapishwe.Mbal i na hilo,pia kemea wale wanaotoa matangazo ya ofa katika kumbi mbalimbali za starehe ambapo hutoza kiingilio fulani lakini mwanamke hupewa ofa kuingia bure,ili iweje!!!!hii sio kumdhalilisha mwanamke?umeona hilo bango tu?Kama roho imekuuma nawe nenda India ukatibiwe!
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA