michezo

Chelsea: Eden Hazard, Willian na Fran Kirby Wafungua Jezi Mpya Zitakazotumika Kama Jezi Za Nyumbani Kwa 2018-19

on

Chelsea warudia rangi za jezi zao za miaka ya 1980 na 1990, ikionyesha rangi ya blue na mstari  mwekundu na mweupe. Jezi hizo za nyumbani zenye mistari ya rangi hizo nyeupe na nyekundu ziliwahi kutumika katika msimu wa 1994-95,

Mashabiki wataona jezi hizo mpya kwa mara ya kwanza siku ya Jumapili ambapo Chelsea watasafiri kwenda St James ‘Park ili kukabiliana na Newcastle United siku ya mwisho ya msimu wa Ligi Kuu.

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *