habari

Dkt. Semakafu, “Ni Makosa Ya Kiuandishi, Kujiunga Kidato Cha 5 Na Sita Ni Miaka 25, Sio 20.”

on

Naibu katibu mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu amezungumzia kuhusu utata ulioibuka kwenye kigezo cha umri wa kujiunga kidato cha tano na sita kuwa kulikuwa na makosa ya kiuandishi. Semakafu alipokuwa akiongea na tovuti ya Eatv amesema kujiunga na kidato cha tano na sita ni mwanafunzi asiye na na zaidi ya umri wa miaka 25 na sio 20 kama ilivyoandikwa kwenye taarifa ya awali.

“Kumetokea makosa ya kiandishi, miaka ni 25 ya kujiunga na sekondari na sio 20 kama ambavyo inasomeka kwenye karatasi”Amesema Semakafu.

 

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *