michezo

Finali Za Michuano Ya Ligi Ya Klabu Bingwa Barani Ulaya Liverpool Vs Real Madrid

on

Fainali ya michuano ya ligi ya klabu bingwa ulaya zitafanyika jioni hii nchini Uklaine.

Mashabiki wa timu hizo wamekusanyika mjini Kiev, Kushuhudia mtanange huo.

Real Madrid inapigana kuweka rekodi ya kutwaa taji hilo kwa mara ya 13, huku Liverpool kwa upande wake ikiwa imeingia kwenye fainali hizo kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 11. Nani ataibuka mbabe?

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *