We have 266 guests and no members online

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Gambia akimbilia mafichoni

media

Alieu Momar Nji, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Gambia.

Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi nchini Gambia, Alieu Momar Njai, ameondoka nchini, kwa mujibu wa ripoti kadhaa. Familia yake imefahamisha BBC kuwa hayupo nchini Gambia, na kamwe haitofichua eneo ambapo amekimbilia .

Inaarifiwa kuwa Alieu Momar Njai alikimbilia mafichoni kufuatia vitisho vya kuuawa baada ya kutangazwa kushindwa kwa Yahya Jammeh katika uchaguzi wa urais.

Rais anayemaliza muda wake kwa mara ya kwanza alikubali kushindwa na kupongeza ushindi wa mpinzani wake Adama Barrow, lakini baadae alipinga ushindi huo na kuitaka mahakam kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais, akisema uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.

Tume ya Uchaguzi ilitangaza kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.

Kufunguliwa upya kwa ofisi za Tume ya Uchaguzi

Makao makuu ya Tume ya Uchaguzi yalifunguliwa wiki iliyopita kwa uamuzi wa serikali ya Gambia.

Desemba 13, makao makuu ya Tume ya Uchaguzi yalifungwa na kuzingirwa na vikosi vya usalama, kutokana na hatari ya kuchomwa moto, serikali imetangaza. Serikali imeongeza kuwa "vikosi vya usalama vitasalia katika hilo."RFI

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA