We have 461 guests and no members online

Tukumbushane Tulikotoka: Kinondoni Iliwahi Kuwa Na Mbunge Mzungu Aliyefanya Makubwa..!

Image may contain: 2 people

 

Ndugu zangu,

Ni enzi za Mwalimu, aliitwa Derek Bryson, pichani ni wa kwanza kushoto.
Alipata pia kuwa waziri wa 

Kilimo na Ushirika. Ni imwasisi wa mpango wa kutenga viwanja Sinza ikiwamo miundo mbinu kama vile mitaa, viwanja vya wazi na maji ya bomba, hata kabla watu hawajajenga.

Derek pia ndiye aliyepelekea Shirika la Posta Na Simu kufungua matawi Kinondoni, Ilala na Temeke.

Alipata kutamka Bungeni; Ni ajabu mtu apande basi na kulipa nauli kutoka Kinondoni aende mjini kununua stempu ya barua yenye thamani sawa na nauli yake ya basi, kwanini asingenunulia Kinondoni na kuituma barua yake akiwa Kinondoni?

Na majibu ya Posta na Simu ikawa ni kufungua matawi ya Posta wilayani...!

Mtoto wa kiume wa Dereck aitwaye Ian aliondoka Tanzania kwenda Ulaya akiwa na miaka 16. Taarifa ambazo mtandao huu wa Mjengwablog inazo, ni kwamba, Ian Bryson, aliyezaliwa na kukulia Tanzania sasa ni Profesa anayefanya kazi nchini Norway.  Bila shaka, watu wa aina ya Profesa Ian Bryson wangeweza kuwa mabalozi wetu wazuri na kutoa mchango kwa nchi. Muhimu kama taifa ni kuanza na kutambua na kuthamini mchango ambao wazazi wao waliutoa kwa nchi waliyoipenda.

Tumetoka Mbali.( Picha hii ni kutoka kwenye kitabu cha Sir Andy Chande, Knight In Africa)

Maggid.

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA