We have 283 guests and no members online

VIDEO: MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA USIYO WAJUA

Katika Karne ya sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi, hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu, anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina.

Tamaa! ni mbaya, kupenda sio vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na sio kutamani! Ili ujue ulipo penda ni sahihi au laa!. Unaweza kupenda ulipo tamaniwa shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani nk. Mwishowake huwa ni majuto.

Kumbuka umakini na msimamo katika mapenzi vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua) Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a “Zaydar” & Moses, utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni dhahabu!. (P.T)

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA