We have 272 guests and no members online

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA MGENI RASMI MKUTANO MKUU MAJAJI WANAWAKE TANZANIA

picsamia

Na:  Frank Shija – MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).

Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyotolewa na Katibu wa Chama hicho  Jaji C. W. Makuru leo jijini Dar es Salaam ambapo katika taaarifa hiyo imesema  kuwa mkutano huo utafanyika siku ya jumamosi, tarehe 07/01/2017 katika ukumbi wa PSPF Goldeni Jubilee Tower ghorofa ya nne.

Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa Mkutano huo utatanguliwa na mafunzo ya uandishi wa hukumu na elimu kuhusu mifuko ya jamii.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mkutano huo unatarajiwa kuudhuriwa na wa wanachama ambao ni Mahakimu na Majaji 200 kutoka pande zote za Tanzania.(P.T)

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA