We have 455 guests and no members online

TANESCO YATOA TAARIFA KUELEZEA MABADILIKO YA KIUONGOZI YANAYOENDELEA NDANI YA SHIRIKA

leila

Kaimu Meenja Uhusiano TANESCO, Bi.Leila Muhaji

NA K-VIS BLOG

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema, kwa sasa linafanya mabadiliko ya uongozi wa ndani ya Shirika kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Shirika kwa lengo la  kuongeza ufanisi zaidi na kazi hiyo ambayo tayari imeanza itakapokamilika, Umma wa Watanzania utahafahimshwa kupitia vyombo vya habari.

Taarifa fupi iliyotolewa na Ofisi ya Uhusiano Makao Makuu TANESCO leo Januari 5, 2017 imeviomba vyombo vya habari vitoe fursa fursa kwa Mamlaka husika kuendelea kukamilisha zoezi hili  muhimu kwa maendeleo ya Shirika na Taifa kwa ujumla na taarifa rasmi itatolewa baada ya zoezi kukamilika.(P.T)

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA