We have 238 guests and no members online

Mjumbe Tuma Anasema: " Mwenyekiti, Atafutwe Ludovick Mwijage!"

Picha ya Maggid Mjengwa

Tuma Fundi....

"...Na Hakuwa Dikteta" Atafutwe Ludovick Mwijage Wa The Dark Side Of Nyerere Legacy Akikataa Yeye 2ta Amin Maneno Yako Mwenyekiti"
Like · Reply · 1 hr
Maggid Mjengwa
Maggid Mjengwa Tuma, ahsante. Kitabu cha Mwijage ninacho kwenye maktaba yangu kama kinavyoonekana. Sio tu nimekisoma, nimeishi katika wakati anaouandikia Mwijage. Kuna ya msingi aliyoayaandika Mwijage, lakini unaona pia kwenye maandiko yake akisukumwa na hasira ya wakati tuliokuwa nao. Mwijage hakutaka kuyaelewa mazingira ya wakati ule.(P.T)

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA