We have 307 guests and no members online

Waandamana kupinga ongezeko la bei ya petroli Mexico

Ongezeko hilo limewakwaza wananchi walio wengi

Ongezeko hilo limewakwaza wananchi walio wengi

Mamia ya waandamanaji kutoka katika majimbo kumi na mbili nchini Mexico wameendelea na maandamano na kufunga barabara wakilalamikia ongezeko la asilimia ishirini ya bei ya mafuta ya Petrol.

Hatua hiyo iliyoanza kutumika tarehe moja Januari vimesababisha machafuko nchini humo.

Zaidi ya watu mia tano wamekamatwa na maduka mengi yamevamiwa.

Zaidi ya waandamanaji 250 wamekamatwa na polisi

Zaidi ya waandamanaji 250 wamekamatwa na polisi

Rais Enrique Pena Nieto amesema kuongezeka kwa bei ya petroli ilikuwa ni lazima kutokana na kuongezeka kwa bei ya mafuta duniani kote.

Wanasiasa wa upinzani wamewaasa wananchi kuwa na subira na kwamba waandamanaji wasijihusishe katika masuala ya uvamizi na vitendo vya uharibifu.BBC

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA