We have 435 guests and no members online

KAMATI YA BUNGE YA PIC YAPEWA MAFUNZO JUU YA UWEKEZAJI KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dhow Financial Prof Mohamed Warsame akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) juu ya uwekezaji katika mashirika ya Umaa.

Waheshimiwa Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya uwekezaji katika mashirika ya Umma.

Msajili wa Hazina Dkt Oswald Mashindano akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wabunge hao juu ya uwekezaji katika mashirika ya umaa. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Albert Obama.Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge)(P.T)

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA