michezo

Hawa Ndiyo Wanamichezo Matajiri Zaidi Duniani Waliotajwa Katika Orodha ya Forbes.

on

Hata hivyo Orodha hiyo haikuwataja wanawake ambao walifanikiwa kuingia katika orodha baada ya mwanamke wa pekee katika orodha hiyo Serena Williams kutoorodheshwa. Mwanamasumbwi wa Marekani Floyd Mayweather ametetea taji lake katika orodha hiyo kwa kushika nafasi ya kwanza, huku Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa akiorodheshwa wa kwanza katika kipindi cha miaka 2 iliopita, sasa ni wa tatu, wakati Lionel Messi akichukua wadhfa wa pili kwa tofauti ndogo.

Wengine walioingia katika 10 bora ni kama ifuatavyo.

  1. Floyd Mayweather – Ndondi ($285m)
  2. Lionel Messi – Kandanda ($111m)
  3. Cristiano Ronaldo -kandanda($108m)
  4. Conor McGregor – Karate, judo na Ndondi ($99m)
  5. Neymar – kandanda ($90m)
  6. LeBron James – Vikapu ($85,5m)
  7. Roger Federer – tenisi ($77.2m)
  8. Stephen Curry – Vikapu ($76.9m)
  9. Matt Ryan – Soka ya Marekani ($67.3m)
  10. Matthew Stafford – Soka ya Marekani ($59.5m)

Orodha kamili inapatikana kwenye https://www.forbes.com/athletes/list/3/#tab:overall

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *