We have 145 guests and no members online

Znateli
×

Warning

JUser: :_load: Unable to load user with ID: 641

Mambo 500 ya kuzingatia ili kufanikiwa kwenye fani ya IT

Posted On Wednesday, 05 December 2012 00:00 Written by
Rate this item
(0 votes)

Kuna usemi unaosema, ukitaka uishi kama mfalme kesho, basi ni lazima uwe mtumwa wa leo. Usemi huu una mana pana sana kwa wale wenye kuutafakari kwa undani, mtumwa hapa ana maanisha ni kufuata yale unayoelekezwa na anayekutuma pia kufuata taratibu na sheria ulizowekewa. Kwa kufanya hivyo basi ni dhahiri utaweza kufikia malengo yako.  Katika fani yetu ya IT, kama zilivyo fani nyingine ina sheria, taratibu na michezo mingi mno ambayo inaifanya njia yake kuwa ngumu na yenye utata. Ni dhahiri kuwa kama haupo makini basi ni lazima tutakuokota ukiwa umejichokea pembeni na kutweta kama umetwisha mzigo wa kokoto.

 Katika pitapita zangu, nimekutana na makala moja ambayo inaelezea kwa undani wake misingi na mambo muhimu ambayo mwana IT anatakiwa kufuata, nimevutiwa sana na makala hii na kama waswahili walivyosema, kizuri basi gawana na mwenzio, nami nagawana nanyi wana AfroIT kizuri hiki. Jisomee mwenyewe halafu tujadiliane nini umejifunza kwenye makala hii?

 Muandishi amejaribu kufafanua kwa undani  na kuonesha athari na umuhimu wa mambo ambayo sisi tulikuwa tunayaonani kawaida, unaweza kuisoma Hapa bila hiyana. 

Read 1851 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart