We have 388 guests and no members online

Watumishi

BONIFACE WAMBURA “KABLA HUJAMUADHIBU MTU LAZIMA UMSIKILIZE”

Posted On Sunday, 28 January 2018 03:34 Written by
Rate this item
(0 votes)

Tokeo la picha la juma nyosoMkurugenzi wa bodi ya ligi Boniface Wambura amesema sakata la Juma Nyoso kumpiga shabiki wanaliacha chini kamati ya nidhamu ambayo mpaka sasa bado inaendelea na uchunguzi ili kutolea uamuzi wa mwisho.

Akitoa ufafanuzi juu ya sakata hilo ambalo lilitokea baada ya mchezo kumalizika amesema limebainishwa kwenye ripoti ya kamishna kwamba lilitokea na kuongeza kwamba majukumu ya majukumu ya kamishna na mwamuzi wa mchezo yanatofautiana kwani ripoti ya kamishna inaanza kabla mchezo haujaanza hadi anapohakikisha kwamba mcezo umemalizika, timu na mashabiki wameondoka uwanjani. Na ndiyo maana tukio lililofanywa na Nyoso limebainishwa. Aidha Wambura amesema tukio hilo ni la utovu wa nidhamu na hivyo kamati itamuita Juma Nyoso ili imsikilize kabla ya kutoa adhabu.

Read 68 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli