We have 311 guests and no members online

Maji

media

Baadhi ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaoishi nchini Uganda

Posted On Friday, 18 August 2017 06:05

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues (kushoto) akizungumza jambo wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya radio jamii iliyofanyika katika ofisi za Unesco jijini Dar es Salaam.

Posted On Friday, 18 August 2017 06:01

g

 

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu Leo  ameendelea  na ziara yake mkoani Katavi, akiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kukagua huduma za Afya zitolewazo nchini.

Posted On Friday, 18 August 2017 05:59

WAZIRI wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Mhagama akiwa anamsikiliza Balozi wa Mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Mrisho Mpoto mara baada ya kuwasili katika banda hilo hivi karibuni jijini Arusha katika maadhimisho ya sikukuu ya nane nane

Posted On Friday, 18 August 2017 05:56

Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Hagnery Chitukulo akizungumza wakati wa ufunguzi wa kozi ya ufundi bomba,mafuta na gesi katika chuo cha Ufundi Arusha(ATC) jijini Arusha,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Camosun nchini Canada,Sherri Bell na kulia ni Mkuu wa Chuo cha ATC,Dk Richard Masika.

Posted On Friday, 18 August 2017 05:48

DSC_7651

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.] 17/08/2017.

Posted On Friday, 18 August 2017 05:45

Mkuu wa LRA Joseph Kony

Mkuu wa LRA Joseph Kony

Posted On Thursday, 17 August 2017 07:17

media

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya NASA, Raila Odinga akizungumza na wanahabari Agosti 16 2017 katika makao makuu ya NASA, jijini Nairobi

Posted On Thursday, 17 August 2017 07:15

1

Katibu Tawala wa Wilaya, Shadrack Kengese akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha shughuli za kilimo na elimu kwa wananchi.

Posted On Thursday, 17 August 2017 07:11

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akitoa maelekezo kwa mkandarasi wa kampuni ya Hari Singh & Sons, Jaspal Singh (kushoto), wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kimara Baruti – Msewe – Chuo Kikuu yenye urefu wa KM 2.6 kwa kiwango cha lami, jijini Dar es Salaam.

Posted On Thursday, 17 August 2017 07:09

Pix 2

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akihamasisha wananchi kuendeleza ari ya kushiriki kazi za maendeleo ya kijiji chao cha Ufyemba mkoani Iringa kwa kushirikiujenzia wa  zahanati hiyo ambayo unajengwa na wananchi wa kijiji hicho kwa kutumia nguvu za wananchi wenyewe ili kusogeza huduma za afaya kijijini.

Posted On Thursday, 17 August 2017 07:08

01

MKURUGENZI Utawala na Uendeshaji wa Hospitali ya Mnazimmoja Abubakar Khamis Hamadi akitoa maelezo ya mafunzo yakuwajengea uwezo zaidi walinzi wanaolinda Hospitali, mafunzo hayo yamefanyika Hospitali ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

Posted On Thursday, 17 August 2017 07:05
Page 1 of 2023

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu