We have 246 guests and no members online

Watumishi

03 725da

Posted On Monday, 08 April 2013 04:35

06 26914

Posted On Monday, 08 April 2013 03:30

9 d52c7

Posted On Monday, 08 April 2013 03:16

6 b553a

Bagamoyo, leo usiku.

Posted On Sunday, 07 April 2013 20:48

2 b40ea

D'Z Restaurant, Bagamoyo, leo mchana.

Posted On Sunday, 07 April 2013 20:28

9 cc5b0

Posted On Sunday, 07 April 2013 20:19

8 8aa16

Ndugu zangu,
Kwa mara nyingine tena, Tido Mhando anaonyesha umahiri wake katika kusimulia kutokana na uzoefu wake yale yenye kusisimua na kuelimisha. Simulizi zake zinazoendelea kwenye jarida la Mwananchi kila Jumapili ni shule tosha kwa wenye kusomea media na Sayansi ya Siasa.
Maggid,
Bagamoyo.

Posted On Sunday, 07 April 2013 20:11

1 2615c

PICHA NA HUDUGU NG'AMILO DAR ES SALAAM

Posted On Sunday, 07 April 2013 19:44

b9 16c79

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013. Picha: IKULU

Posted On Sunday, 07 April 2013 13:52

b1 1a7a7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa  wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013  walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. Picha : IKULU

Posted On Sunday, 07 April 2013 13:38

6 62ebc


Jibu; " Uliza swali lingine, kama yameisha niinuke nende zangu!"

Naam, leo nikiwa hapa Bagamoyo nimepata bahati ya kukutana na msomaji wangu wa tangu miaka ya 90 na ambaye sasa kila kukicha lazime pia atembelee Mjengwablog.
Ni mwalimu Alphonce Ambidwile wa Sekondari ya Eagles hapa Bagamoyo. Amenitafuta tangu jana aliposikia niko Bagamoyo.

Na leo tumekutana kwa mara ya kwanza na kunywa soda na kuongea kwa saa nzima. Kama ilivyo kawaida, yeye ananifahamu zaidi mimi kupitia kazi zangu kuliko mimi juu yake.

Mbali ya mambo mengine nilimwambia, kuwa kazi yetu hii ya uandishi wa kijamii ni kama kazi ya Sheikh au Mchungaji. Ni watumishi wa watu. Huwezi kuchagua wala kubagua.

Na kama kawaida, alisubiri wee, mpaka ikafika muda akauliza ya Bi Mkora wangu!

Jumapili Njema!
Maggid,
Bagamoyo.

Posted On Sunday, 07 April 2013 10:14

d8 f7365

Bagamoyo hapa.

Posted On Sunday, 07 April 2013 09:47

d2 26e56

Posted On Sunday, 07 April 2013 09:40

 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema itaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuimarisha ukagauzi wa shule ili kuhakikisha ufuatiliaji wa karibu wa maendeleo ya wanafunzi na ufundishaji shuleni

Posted On Sunday, 07 April 2013 09:32

 

1 27429

 

Posted On Sunday, 07 April 2013 04:23

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi