We have 234 guests and no members online

Maji

3- Spika anne Makinda

Tunaelekea kuzoea bunge la vioja badala ya hoja.mfano,ni kuwa kuna baadhi ya wabunge wanapeleka hoja kuwa bunge lisionyeshwe live.hakya ya nani! .Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda akitoa taarifa kwa wabunge (kawapo pichani) jana mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati itakayokwenda mkoani Mtwara kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa  huo kuhusu tatizo la suala la gesi(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)

Posted On Wednesday, 30 January 2013 04:21

DSC00710

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara, Januari 28, 2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Posted On Wednesday, 30 January 2013 04:16

IMG_7338

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Meneja wa Benki
ya Watu wa Zanzibar Limited,(PBZ) Juma Amour, kwa Mchango wa Benki
hiyo kuchangia Kombe la Mapinduzi Cup.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

 

Posted On Wednesday, 30 January 2013 04:11

 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake wakati akifungua Mkutano  wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa
leo Januari 29, 2013 katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam.

 Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara,
akizungumza wakati wa Mkutano  wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa
leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam.

 

Posted On Tuesday, 29 January 2013 21:47

nyeregetee1 3c7df

nyeregetee2 832b8

 Ndugu zangu,
Leo nina safari ya kwenda kijijiji kwetu Nyeregete. Wasiwasi wangu ni kama mvua zinazonyesha milimani zitajaza korongo letu, na kama Kifaru changu kitaweza kuvuka, au kama kitabaki ng'ambo ya pili. Hivyo, labda nianze na kujiandaa kuogelea kuvuka korongo. We shall see!

.... And, Good Afternoon.
Maggid,
Iringa.

Posted On Tuesday, 29 January 2013 10:56

makamanda c34ad


Ni Mama mdogo wangu, katikati mwenye mwenyebatiki na aliyejishika mikono. Mama Mdogo Wema Mwaruka ameolewa na ukoo wa Kisiga wa hapa Iringa.

Jana hapa nyumbani kwetu Iringa tulimwandalia chakula cha jioni akiwa na wifi yake Mama Lubibira, naye ni wa ukoo wa Kisiga. Wote wanafanya kazi Dar es Salaam na walifanya ziara ya Iringa kutembelea ndugu na jamaa. Wameweza kuwaona na wajukuu zao pia.
Inapendeza sana, maana, kuna wanaoonekana kwao wakati wa misiba tu.

Posted On Tuesday, 29 January 2013 10:39

 

Chambuzi za Wiki

Neno la leo: hata kibogoyo anaweza kukuuma!- Na M Mjengwa.

Ujasiriamali unahitaji “roho ya paka”! -  Na. Albett Nyaluke Sanga

Teknohama, Ni Ufanisi Au Chanzo Cha Ugoigoi Kwenye Afya - Sehemu Ya 1  -  Na. M Nyoni.

Zenye   Hisia Zaidi

Habari zilizovuta hisia za watu kwa kuwa na maoni mengi zaidi.

Niliyoyaona  muhimbili jana usiku yamenitia simanzi ....

Ndugu zangu, Jana usiku nilifika Wodi ya Sewa Haji pale Muhimbili kumwona ndugu yangu aliyepata ajali...

 

 

hh 

Bi mkora ni nyumba ndogo                     Mume sokoni                          Nangurukuru nitarudi

Mlisho wa habari

Pokea mukhtasari wa habari moja kwa moja kwenye email yako.

      

Umepokea Email hii kwakuwa umejiunga na mlisho wa habari wa Mjengwablog, kama haupendelei kupokea email toka Mjengwablog basi unaweza {unsubscribe}jitoa{/unsubscribe} kwenye orodha ya mlisho wa habari

MjengwaBlog © 2006-2013 

 Imetengenezwa na Dudumizi Solutions!

 

Posted On Tuesday, 29 January 2013 08:06

a06 a907e

Iringa, jana mchana.

Posted On Tuesday, 29 January 2013 07:53

  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanchama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama hicho.

Posted On Tuesday, 29 January 2013 07:40

 

Posted On Tuesday, 29 January 2013 07:36

DEOOE 02ccc

Akiongea na wananchi wa lugarawa Mh.Deo Filikunjombe,na wananchi wamesema kuwa hata wao wanataka miundombinu,viwanda na ajira katika mradi wa chuma wa mchuchuma na Liganga vijengwe wilayani Ludewa ili wananchi wanufaike na uwepo wa raslimali hizo na pia kuepuka vurugu kama za Mtwara

Posted On Tuesday, 29 January 2013 07:28

IMG-20130129-00586 9ae1e

Posted On Tuesday, 29 January 2013 07:19

rosee 0bc4e

Dr Rose Migiro akisakata rumba na bibi kizee kule Kigoma

Posted On Tuesday, 29 January 2013 05:45

DEOO7 05345

 

Mh Deo akimuonyesha eneo la ujenzi wa Chuo Mkurugenzi mkuu veta Ndg. Zebadieli Mushi lenye ukubwa wa hekali sabini.

Posted On Tuesday, 29 January 2013 05:28

IMG-20130129-00596 e2cb6

Bonyeza hapa kusoma mengine

Posted On Tuesday, 29 January 2013 04:52

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu