We have 232 guests and no members online

Watumishi
Maandalizi Ya Sherehe Za Mwaka Mpya Visu VYa Jikoni Vinanolewa

Maandalizi Ya Sherehe Za Mwaka Mpya Visu VYa Jikoni Vinanolewa
Picha ni leo mchana- 'forest' mpya - Mbeya...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:08
Makubwa Haya; Mwenyekiti Kwanini Usigombee Ubunge? - Ngoja Niwajibu....
Anonymous said...

  Kaka hongera sana leo nimesikia sauti yako...huwa nakusoma tu hapa kwenye blog yako.....ilikuwa presentation nzuri sana....well prepared...sasa bwana kwa kuwa unasaidia sana watu vijijini je, umeishawahi kufikiria kugombea walau ubungu hili uweze kuwasaidia kwa karibu zaidi?
Mdau Maryland Sat Dec 29, 04:55:00 PM GMT+03:00

A...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:08

Daladala Yawaka Moto Iringa, Abiria Wanusurika Kufa

Daladala likizimwa moto na kikosi cha moto Iringa
Daladala Yawaka Moto Iringa, Abiria Wanusurika Kufa
Daladala yenye namba T 717 AWK mali ya Ayubu Kabigi ikiwaka moto eneo la mshindo.
 
Na: Denis Mlowe - Iringa
Zaidi ya abiria 20 wanusurika kufa katika ajali ya gari aina ya daladala inayofanya shughuli za kusafirisha abiria kati ya Mkwawa na Kihesa Kilolo baada ya daladala hiyo kuungua moto...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:08
Magazeti Leo Jumatatu

Magazeti Leo Jumatatu

Magazeti Leo Jumatatu

Posted On Monday, 31 December 2012 10:08
TSN Board Appoints Nderumaki Acting ME

By Staff Reporter
THE Board of Directors of Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN) has appointed Mr Gabriel Nderumaki (pictured), the company's Acting Managing Editor effective December, 24, this year.
According to a statement issued by the company yesterday, Mr Nderumaki takes over from Mr Mkumbwa Ally, after expiry of his contract with the...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:07
SUMATRA Yatoa Msaada Wa Vifaa Vya Milioni 2.2 Hospitali Ya Mwananyamala Na Moi 
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra),Ahmad Kilima (kulia), akimkabidhi vifaa mbalimbali na madawa Mganga Mkuu Mfawidhiwa Hospitali ya Mwananyamala Sophinias Ngonyani kwa ajili ya wagonjwa wa haospitalihiyo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Msaada huo umetolewa na Sumatra kwa ajili yakuwafariji...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:07

Heri Ya Mwaka Mpya 2013 Kutoka Ngoma Africa Band - FFU ! 
Bendi ya muziki ya  Ngoma Africa aka FFU inatoa Salam za Heri ya mwaka mpya 2013 kwa wadau wote popote pale walipo Mwaka 2013 uwe wa Amani,Upendo mafanikio kwa wote,mwaka mpya uwe na mtazamo mpya kwetu sote, msimamo wa kuziba nyufa na mmomonyoko uliopo katika jamii yetu ya watanzania. Wito wa Ngoma Africa 2013 ni vita vya kuziba...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:07
Washington DC New Year Party...
Posted On Monday, 31 December 2012 10:07
kaa Tayari ni Mpyaaaaaaaaaaaaaaa!.....
Posted On Monday, 31 December 2012 10:07
Baiskeli aliyoibiwa kamanda Olle Imepatikana; Aliyeuziwa Ni Kiongozi Wa Kidini!
Ndugu zangu,

Mtakumbuka niliwajulisha tukio la mwana wangu kuvamiwa na kunyang'anywa baiskeli yake wakati akienda shule asubuhi moja hapa Iringa.
Nafurahi kuwa, baada ya kuweka mitego hususan kwa mafundi baiskeli wa mjini, hatimaye fundi baiskeli ( mtani wangu shabiki wa Yanga) amenipigia simu na kunijulisha kuwa mtu ameleta baiskeli hiyo kwa...
Posted On Sunday, 30 December 2012 19:48
Wazalishaji Wa Chumvi Bagamoyo Walalamikia Kupanda Kwa Ushuru 
WAZALISHAJI wa Chumvi katika Wilaya ya Bagamoyo wamelalamikia ongezeko la ushuru wa chumvi unaodaiwa kupanda kwa asilimia 50 zaidi ya kiwango kilichokuwa kikitozwa hali inayowasababishia kuongezeka kwa gharama za uzalishaji kuliko bei halisi ya masoko.
 
Malalamiko hayo yametolewa mwishoni mwa wiki na Katibu  wa Chama cha Wazalishaji...
Posted On Sunday, 30 December 2012 09:57
Magufuli Amteua Prof Ninatubu Lema Kuwa Mwenyekiti Wa Bodi (ERB) 
WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amemteua  Prof Ninatubu Lema kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET), kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), uteuzi huo unaanzia Desemba 20 mwaka huu.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Magufuli iliyosambazwa kweye vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana, na kusainiwa na Kaimu...
Posted On Sunday, 30 December 2012 09:57

Magazeti Leo Jumapili

 

Magazeti Leo Jumapili

 

Magazeti Leo Jumapili

 

Posted On Sunday, 30 December 2012 09:57
Kahawa Ya Iringa Hii
Iringa stend ya mabasi,leo asubuhi hii...
Posted On Sunday, 30 December 2012 09:57

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart