We have 69 guests and no members online

Simu

 BULEMBO akikagua gati la kuegemeshea meli linaloendelea kujengwa katika wilaya ya mafia. Gati hilo ambalo ni muhimu sana kwa wananchi wa wilaya hiyo linatarajiwa kumalizika mwezi wa tatu mwaka huu. Wengine katika picha ni viongozi wa CCM.

Posted On Thursday, 07 February 2013 14:00

4-aggrey Mwanri akijibu hoja Bungeni

Naibu Waziri, Ofisi ya  Waziri Mkuu (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akiwakilisha hati mezani kuhusu Taarifa ya  Mwaka na Hesabu zilizokaguliwa na Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha,2010/2011. (picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

1-baadhi ya maafisa habari mawasiliano serikalini wakielekea katika ukumbi wa Bunge

Baadhi ya Maafisa Habari  Mawasiliano Serikalini  wakielekea katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge leo Dodoma. Maafisa hao  wamefanya ziara  Bungeni hapo ili kuona  shughuli za Bunge,(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)

 

Posted On Thursday, 07 February 2013 13:53

TanzaniaFootballFederation1 1d39b

Release No. 024

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Februari 7, 2013

MAWAKILI RUKSA RUFANI ZA UCHAGUZI TFF

WAOMBAJI uongozi kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu (TPL Board) waliokata rufani kupinga kuenguliwa kwenye kinyang’anyiro hicho wanaruhusiwa kuwa na uwakilishi wa kisheria (legal representation) wakati wa kusikilizwa rufani zao.

Uamuzi wa kuruhusu mawakili kwenye usikilizaji wa rufani hizo mbele ya Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF inayoongozwa na Idd Mtiginjola ni kuhakikisha kila upande unapata haki.

Posted On Thursday, 07 February 2013 13:37

office 7e17c

 

TUNAHITAJI WAHUDUMU WA OFISI WAWILI

WAWE NA UWEZO WA KUTUMIA COMPUTER

WAWE WANAONGEA KIINGEREZA VIZURI

KAZI ZINGINE UTAFUNDISHWA

KAZI ZAKO ZITAKUWA NI KUPOKEA SIMU NA KUFANYA BOOKINGS

 

TAFADHALI TUMA MAOMBI OFISINI KWETU AU TUPIGIE SIMU KWA NAMBA HIZI HAPO CHINI

 

TELL          01375855917

MOBILE     07903828119

FAX            01708202477

ULIZA CHRIS

serengetifreight@yahoo.co.uk

www.serengetifreight.co.uk

"SERENGETI" THE PRIDE OF AFRICA!

Posted On Thursday, 07 February 2013 13:14

mbowe 1 7ec73

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa pamoja na Mkuu wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi. Viongozi hao walikutana kwa ajili ya mazungumzo kwenye kikao kifupi, juzi jioni, mjini Dodoma, kujadili masuala mbalimbali nchini.

Posted On Thursday, 07 February 2013 12:49

1

Naibu Spika Job Ndugai akiongea na Ujumbe kutoka Baraza la wawakilishi Zanzibar uliofika Bungeni Dodoma ukiongozwa na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Ali Abdallah Ali (wa pili kushoto) kubadilishana uzoefu katika maswala ya Uwendeshaji shughuli za Bunge. Wengine kutoka kulia ni Mhe. Ali Abdallah Ali Pamoja na Mhe. Mahamoud Mohamed Musa, Mwenyekiti wa Baraza la wawakilishi, Mhe. Mgeni Hassan Juma, Mwenyekiti wa Baraza la wawakilishi pamoja na Ndg. Amour Amour, Katibu wa ujumbe huo

 

Posted On Thursday, 07 February 2013 12:38

bishop 2a45b

Askofu Mstaafu wa jimbo Katoliki la Moshi Mhashamu Amedeus Msarikie Amefariki Dunia.

Posted On Thursday, 07 February 2013 11:54

 

Posted On Thursday, 07 February 2013 11:43

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya HakiElimu, Bi. Elizabeth Missokia (kulia)akizungumza kwenye mkutano huo na wanahabari.

 

Na Joachim Mushi

 IMEELEZWA kuwa hali ya elimu nchini kwa sasa si shwari hivyo ni wakati muafaka kwa wananchi na Serikali kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na hali hiyo. Changamoto hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya HakiElimu, Bi. Elizabeth Missokia alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo anuai vya habari kuzungumzia mustakabali wa elimu nchini. 

Posted On Thursday, 07 February 2013 08:54

matunda ef520

Kama matunda bwelele kwanini uhangaike na juisi za chupa? Staftahi yangu hii asubuhi hii.

Posted On Thursday, 07 February 2013 07:50

bbbalozi 38381

Kwenye hotuba yangu niliongelea umuhimu wa Jumuiya hiyo ya wake wa Mabalozi kuendelea kuchangia elimu ya wasichana waliokatishwa masomo.
Kwamba ni haki kupata elimu na pia kumpa msichana nafasi ya pili katika maisha.

Nikakumbushia historia ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Jamii kwa kutolea mfano nchi ya Sweden. Kwamba kwa hapa nchini Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi vimetokana na urafiki wa kati ya Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Nyerere na Waziri Mkuu wa Sweden aliyeuawa, Olof Palme.

Posted On Thursday, 07 February 2013 07:19

ocean 2aa54

Ocean Road. Nimepita hapo asubuhi hii nikiwa nafanya jogging. Unajiwa na fikra za mama mzazi ambaye hakulala kwa uchungu wa uzazi usiku wa kuamkia Machi 11, 1966. Na saa kumi na moja alfajiri ya Machi 11, 1966, akawa amenipakata kama mwanawe wa pili kuzaliwa. Kaka yangu, Grey Mjengwa yeye sasa ni marehemu. Alifariki kwa ajali ya basi lililozama mtoni mwaka 1994 kule Tanga. Mungu amrehemu.

Posted On Thursday, 07 February 2013 07:02

 

Mkurugenzi wa Biashara wa CFAO Motors Wayne Mcintosh akizindua rasmi gari ya Nissan Patrol aina ya Y62 leo katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

Katika uzinduzi huo wa gari hiyo mpya ambayo ni Four Wheel Drive yenye uwezo wa kubeba watu 8 na yenye nguvu ya 5.6L V8 injini yenye spidi ya 240 ni ya pekee duniani kuzinduliwa na Tanzania inakuwa ya kwanza katika nchi za

Posted On Thursday, 07 February 2013 07:07

P1320019 12273

                         Wasira akisaini kitabu cha waombolezaji kwa niaba ya Rais

 

RAIS Jakaya Kikwete ametoa rambirambi kufuatia kifo cha muasisi wa TANU/CCM na mzalendo wa kwanza kuwa mkuu wa Kanisa la KKKT- Dayosisi ya kati kutoka kwa wamisionari, mchungaji Thomas Musa(86). Marehemu Thomas Musa aliyezaliwa desemba 6,1927 wilayani Iramba alifariki ijumaa iliyopita na

Posted On Thursday, 07 February 2013 06:53

.

Bonyeza hapa kusoma mengine

Posted On Thursday, 07 February 2013 06:51

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi