We have 69 guests and no members online

Simu

images c570c

 

 Bingwa wa IBF katika bara la Afrika uzito wa unyoya (Featherweight) Ramadhani Shauri amepewa nafasi ya kugombea ubingwa wa dunia wa IBF kwa vijana walio chini ya miaka 25 uzito wa Lightweight. Shauri ambaye alishinda taji la ubingwa wa IBF katika bara la Afrika mwaka jana baada ya kumpiga bondia Sunday Kizito wa Uganda ana rekodi ya mapambano 17. IBF imeamua kumpatia Shauri nafasi ya

Posted On Thursday, 07 February 2013 06:44

hindii1 af299

Utamu Wa Hindi Ulichome Mwenyewe...!
Chalinze ya Dodoma hapa, jana mchana.

Posted On Thursday, 07 February 2013 06:40

ocean road 3184d


Leo asubuhi. Kijua cha asubuhi na joto lake linapozwa na upepo wa bahari. Dar inapendeza!

Posted On Thursday, 07 February 2013 06:33

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza(kulia)akimkabidhi Abella Tarimo, Meneja biashara wa Vodacom Tanzania zawadi ya ngao na cheti kwa kuwa mfanyakazi bora katika kuunganisha idara zote kwa wakati na utendaji kazi kiufanisi. Anaeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya huduma kwa wateja Harrieth Lwakatare.

Posted On Thursday, 07 February 2013 04:28

serengeti 85877

 

WAZEE WA KAZI

  CONTAINER PRICE CUT!

40'HC TO DAR/MOMBASA NOW £1,950

20' CONTAINER TO DAR/MOMBASA £1,350

THIS IS MORE THAN £200 DISCOUNT!

THIS IS FOR MAERSK LINE, CMA-CGM, WEC LINE NA SAFMARINE

 

RATIBA YA MELI MPYA FEBRUARY 2013

 

Posted On Thursday, 07 February 2013 04:15

Mwenyekiti wa kamati ya TWAA Bi Sadaka Gandi akiongea na Waandishi wa Habari Leo

----

DAR ES SALAAM, TANZANIA,  – Taasisi ya Tanzania Women of Achievement (TWAA) imezindua Tuzo za Wanawake wenye Mafanikio Tanzania msimu wa 2013 zilizopangwa kufanyika katika siku ya wanawake duniani tarehe 8 Mwezi Machi mwaka huu. Tuzo hizi ambazo hufanyika kila baada ya miaka miwili zilizinduliwa mwaka 2009 kwa heshima ya wanawake katika sekta mbalimbali nchini kote ambao kupitia kazi zao wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kuleta maendeleo ya jamii zao kwa njia moja au nyingine.

Posted On Thursday, 07 February 2013 04:06

Habari zenu, mabibi na mabwana, marafiki zangu wa kwenye mtandao na wale wasio marafiki zangu ambao naamini kwa namna moja au nyengine mtakapo soma habari hii mtaipeleka kwa jamaii inayowazunguka ili kuweka hali vizuri .maisha ni kuhangaika na kwamba inataka mtu anayefahamu njia sahihi kuweza kujua kuwa nikitumia njia hii hali itakuwa sawa na pengine mambo yangu yatanyooka.hii inaweza kuwa ndiyo maana halisi ya hangaika ufanikiwe. lakini tafsiri hii haiwezi kuwa kutumia njia za kudhulumu, kukaba, kuiba au kufanya utapeli ili ufanikishe malengo yako mabaya dhidi ya mtu au kikundi fulani cha watu.

Posted On Thursday, 07 February 2013 04:00

E80A2616

Mkuu wa mkoa Kigoma Issa Machibya akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya kujitoilea ya jeshi la kujenga taifa kambi ya JKT Kanembwa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma .MKUU wa mkoa Kigoma Issa Machibya amewataka vijana wanaomaliza mafunzo ya kujitolea ya jeshi la kujenga taifa mkoani humo kutumia mafunzo hayo kama chachu ya kuchochea uzalendo na uwajibikaji kwa vijana wenzao.

 

Posted On Thursday, 07 February 2013 03:54

b6 71c05

CHANZO: Gazeti Mwananchi.

Posted On Thursday, 07 February 2013 03:15

kp06022013 4d466

Posted On Thursday, 07 February 2013 02:32

 

 Na: Zacharia Osanga 

Baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza matokeo ya sensa, inayokaribia watu 45 milioni, siku chache baadaye deni la taifa lilitangazwa kufikia Sh21 trilioni huku katika wastani kila mtu akidaiwa Sh467,404. Fedha hizo zinatokana na mkopo baada ya Serikali kukopa kwa ajili ya kujenga miundombinu kama barabara, bomba la gesi, mishahara ya wafanyakazi, na...

Posted On Thursday, 07 February 2013 02:24

100 5680 f224d

100 5711 fffb4

Barabara zetu...picha ni kijiji cha Kibengu karibu na Usokami wilaya ya Mfundi-Iringa, juma la jana

Posted On Thursday, 07 February 2013 02:14

ugali 4f7cf

Wakina mama majina hayakuweza patikana wakiwa katika upikaji wa ugali kwa ajili ya biashara maeneo ya samora kwa nelly nyama choma.Iringa

Posted On Wednesday, 06 February 2013 18:54

bungee 75bca

Na John Banda, Dodoma

 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma  imesema kuwa agozi la Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkr Rehema Nchimbi la kukataza mikutano,maandamano na midahalo ya vyama vya siasa katika kipindi cha vikao vya Bunge.

Agizo hilo ni kuvunja sheria namba 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 na sheria ya Jeshi la Polisi linalosimamia uendeshaji wa shughuli za yama vya siasa nchini,

Posted On Wednesday, 06 February 2013 18:36

1

Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akitangaza washindi wa promosheni ya Amka millionea kwa mwenzi wa Februari ambapo wateja 40 wameamka mamilione, kulia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde

2Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiwaelekeza washindi wa Amka millionea namna ya kujaza fomu zao uthibitisho wa ushindi mara baada ya kutangazwa washindi wa

Posted On Wednesday, 06 February 2013 16:59

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi