We have 196 guests and no members online

Watumishi

12 48ba4

Wazo la tamasha limeasisiwa na mtoto Lukeman Carter na rafiki yake Adam. Watu 600 wanatarajiwa kuona. Tiketi 150 zimebaki. Kama u karibu na Norwich wahi tiketi yako.  Mchango wako unaweza kusaidia uchimbaji wa kisima kimoja au viwili, ni ukombozi wa kero ya maji kwa wanawake na watoto wengi katika Tanzania.

Posted On Friday, 25 January 2013 19:45

485951 4751912788513 394908712 n cd7f9

 

Madibira Imefika Norwich Uingereza; Tamasha La Muziki Kuchangia Uchimbaji Wa Visima Madibira, Mbarali, Mbeya!

Posted On Friday, 25 January 2013 19:34

william_mgimwa

Na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam

 SERIKALI ya Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri jijini Dar es salaam na kilimo hapa nchini.

 Msaada huo umesainiwa (leo) jijini Dar es salaam na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada kwa niaba ya Japan na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania.

 

Posted On Friday, 25 January 2013 11:43

IM 6380

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar
Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe
za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana,
na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,(katikati).[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

Posted On Friday, 25 January 2013 11:37

8E9U5067

President  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  speaks during  a World Economic Forum session on “Mobilizing Private Sector Investment in African Energy,” held at World Food Programme  Tent in Davos, Switzerland. On the left  is USAID administrator Dr. Rajiv Shah  and second left is former British Prime Minister Tony Blair.

 

Posted On Friday, 25 January 2013 11:32

neno 03622

 Ndugu zangu,

Miongoni mwa viongozi waliopata kuongoza dola ya Kiislam, hususan baada ya Mtume Muhammad (SAW) , na baada ya masahaba, ni Amir Muuminina Khalifa Umar bin Abdulaziz.

Wanazuoni wa Kiislam wanatwambia, kuwa utawala wa Khalifa Umar bin Abdulaziz ulijaa uadilifu. Si kwa viongozi tu, hata kwa raia wake.

Posted On Friday, 25 January 2013 08:04

 

Na :Leon Bahati-Mwananchi

“Ni faraja kusikia watu wakinizungumzia kuwa ninazo sifa (za kuwa Rais). Nami ninaamini ninazo sifa. Wakati utakapofika nitajipima. Kama hali hii itaendelea, basi nitaona ni vizuri nigombee,” Akizungumza katika mahojiano (soma zaidi hapa)

Posted On Friday, 25 January 2013 06:22

 Maaskari wakiongoza msafara wa wanachuo ambao walikuwa wanaelekea kwa mkuu wa mkoa

Posted On Friday, 25 January 2013 06:16

555178 324005161039538 2096874168 n 058d7

Posted On Friday, 25 January 2013 06:09

MILAD NABI 2013 89c32

Mjengwablog inawatakia Waislamu na Watanzania wote Maulid njema

Posted On Friday, 25 January 2013 05:48

rembo1 771ac

Tamasha kubwa la vipaji litafanyika katika Ukumbi wa Ikondolelo Lodge  Hoteli ya Kitalii  Kibamba Jumapili hii, ambapo warembo zaidi ya Thelasini   wataingia katika kuonesha vipaji mbalimbali vikiwemo na, Kucheza ngoma, Kuimba, pamoja kuonesha mavazi mbalimbali ya Asilia.

Posted On Friday, 25 January 2013 05:32

office 7e17c

  SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD

WAZEE WA KAZI

  TUMESHUSHA BEI ZA MAKONTENA!

40'HC TO DAR/MOMBASA NOW £1,950

20' CONTAINER TO DAR/MOMBASA £1,350

THIS IS MORE THAN £200 DISCOUNT!

HII BEI NI KWA MAERSK LINE, CMA-CGM, WEC LINE NA SAFMARINE

 

RATIBA YA MELI MPYA FEBRUARY 2013

Posted On Friday, 25 January 2013 05:07

IMG-20130125-00500 01186

Bonyeza hapa chini kuyasoma mengine

Posted On Friday, 25 January 2013 04:37

h1 062be

Iringa hapa, jana asubuhi.

Posted On Friday, 25 January 2013 03:23

wanafunzi

Na Ali Issa na Zahira Bilali-Maelezo Zanzibar   

 Jumla ya Wanafunzi 11,195 wamechaguliwa kujiungia Kidatu cha Tatu kwa mwaka wa masomo 2013 katika Skuli mbalimbali za Unguja na Pemba ambapo kati yao wasichana ni 6,768 na wavulana  ni 4,427.

 

Posted On Thursday, 24 January 2013 21:15

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi