We have 46 guests and no members online

Simu

6 27fc4

Kwenye Send Off Party ya Faridhana, binti wa rafiki wa familia yangu, Iringa, jana usiku.

Posted On Sunday, 03 February 2013 06:30

b4 235ca

CHANZO: Gazeti Mwananchi

Posted On Sunday, 03 February 2013 06:27

b10 8fcc9

Posted On Sunday, 03 February 2013 06:24

IMG-20130203-00678 5ead9

Bonyeza hapa kusoma mengine

Posted On Sunday, 03 February 2013 04:21

a8 a7c38

Kwenye Send Off Party ya Faridhana, Iringa, jana usiku. Faridhana ni binti wa rafiki wa familia yangu.

Posted On Sunday, 03 February 2013 04:20

7

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakisalimiana na wafanyakazi wa ndege ya Rais mara baada ya kushuka kwenye ndege alipowasili katika  uwanja wa ndege wa Kigoma leo jioni, kwa ajili ya sherehe za miaka 36 ya CCM zitakazofanyika kesho kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho pamoja na viongozi wa vyama rafiki vya CCM kutoka nchi jirani za Burundi na DRC Congo.

 

8

Rais Jakaya Kikwete akivishwa skafumara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma leo jioni kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na katikati ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana.

Posted On Saturday, 02 February 2013 20:21

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumzia mwamko wa watanzania katika kujitolea kufanya usafi ambapo amesema, bado ni mdogo ndio maana tulisema wakati ule tunaanza mwezi wa saba tutumie karibu miezi mitatu tutoe elimu, lakini tumeongeza miezi mitatu mpaka Desemba na tukaongeza miezi mingine mitatu mpaka Machi, tutoe elimu ili ifike wakati watu wote waone ni majukumu yao kuhakikisha mji uko safi.

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 20:14

 01(5)

NA Maelezo Zanzíbar                      

 Mjumbe wa Baraza kuu la Ungozi la Chama cha Wananchi CUF Juma Duni Haji amewataka Wazanzibari kuongeza mshikamano na kujiepusha na itikadi za vyama vyao katika kutetea maslahi ya Zanzíbar kwenye Muungano.

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 20:09

1-Naibu Wazi wa Habari , Vijana, Utamaduni na Michezo amos Makalla akijibu hoja

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla akijibu hoja ya Wizara ya  Mbunge Yussuf Haji Kahamis ( Nugwi ) hayupo pichani, kuhusu Serikali ina mikakati gani kwa wanamichezo wetu juu ya ugunjwa wa moyo, ambao ni tishio kubwa kwa maisha yao jana Bungeni- Dodoma.

PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 20:03

TanzaniaFootballFederation1 c41eb

Release No. 020

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Februari 2, 2013

SAMATA, ULIMWENGU MBIONI KUTUA NCHINI

Washambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wanatarajia kutua nchini kesho (Februari 3 mwaka huu) tayari kwa mechi ya Cameroon itakayochezwa Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Posted On Saturday, 02 February 2013 13:25

magereza 18348

Injinia wa Ujenzi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dodoma, Salum Omari
akimuonyesha Naibu Katibu Mkuu, Mwamini Malemi (kushoto) maeneo
mbalimbali ya gereza maalum la wafungwa wakorofi linaloendelea kujengwa
karibu na Gereza la Isanga mkoani Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Jeshi hilo nchini,
Kamishna Jenerali John Minja.

Posted On Saturday, 02 February 2013 13:19

kinana da9c8

 

NA BASHIR NKOROMO, KIBONDO

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewaachia neema wakazi wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, baada ya kuchangisha zaidi ya sh. milioni 18 za ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya hiyo, kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Ushirika mjini wilayani hapa.

Posted On Saturday, 02 February 2013 13:07

n1 45130

Baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu wakijaza fomu wakati wa semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), na kufanyika kwenye Hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo leo Januari 2, 2013.

Posted On Saturday, 02 February 2013 12:59

images 806e4

Na John Banda, Manyoni.

FAMILIA 220 za wanachama wa chama cha Wakulima wa Zao la Tumbaku  wa kijiji cha Msemembo wilayani manyoni mkoani Singida wazimeziacha nyumba zao na kukimbilia mapolini kutokana na Chama ha ushirika cha Msemembo Amcos kuamua kumtumia dalali wa  kampuni ya  Mwankoko Auction Mart Co.LTD ya mjini Singida.

Posted On Saturday, 02 February 2013 12:48

004 180b7

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Tuzo za Mwanamichezo bora wa TASWA, Haji Manara, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, leo mchana, wakati wakitangaza kuhusu kusogezwa mbele kwa shughuli hiyo ya utaoji tuzo ambapo sasa hafla hiyo itafanyika April 27, 2013, ambapo pia alizungumzia kwa ujumla maandalizi hayo. Katikati ni Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando, (kulia) ni Mjumbe wa TASWA, Turo Chambo.

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 12:34

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi