We have 91 guests and no members online

Simu

serengeti b04b7

Ofisi za Serengeti Freight Forwarders wazee wa kazi huko uingereza zikiwa zimegubikwa na barafu

Posted On Tuesday, 22 January 2013 14:41

 

IMG_0297Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bibi Diane Corner wakati Balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Waziri Ofisini kwake leo Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Posted On Tuesday, 22 January 2013 14:09

balozi 146fa

 

Jumla ya Shilingi Bilioni 12 zimetumika kutekeleza Miradi ya Maendeleo 820 inayofadhiliwa na Mfuko wa Maendeo ya Jamii TASAF kwa Awamu ya Pili ya Mfuko huo  Unguja na Pemba. Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Khalid Suleiman ameyasema hayo leo katika Warsha ya siku mbili ya kuwajengea uelewa wa Awamu ya Tatu ya TASAF juu ya ‘Mpango wa Taifa wa kunusuru Kaya Maskini’ kwa Wajumbe wa Kamati za uongozi na menejiment za TASAF –Zanzibar huko...

Posted On Tuesday, 22 January 2013 13:36

 

a1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris

a2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi  kwa Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris

Posted On Tuesday, 22 January 2013 13:30

485897 4733433046531 1226201349 n edbe4

 

Mwenzenu siwezi kupita Msamvu bila kumtembelea Bi Mkora wangu, naye, hawezi kukubali nipite bila kumwona! Alasiri hii nikiwa safarini kwenda Iringa kutokea Dar ameniandalia mapochopocho hayo. Nimemwambia leo silali Msamvu, maana,

Posted On Tuesday, 22 January 2013 13:19

img_6574 

Na Anna Nkinda – Paris

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amesisitiza umuhimu wa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kupewa chanjo kwa wakati, chakula chenye virutubisho na kuwafundisha kinamama jinsi ya kuwatunza kwa  kufanya hivyo nchi itakuwa inapanda mbegu nzuri na baada ya miaka michache taifa litakuwa na watoto wenye afya bora.

 

Posted On Tuesday, 22 January 2013 12:21

002.MWEI 829bd

Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wa kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,waliofika katika ofisi za kijiji kwa ajili ya kukopeshwa pesa na  Vodacom kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huo kijijini hapo.

Posted On Tuesday, 22 January 2013 07:02

CRC-SAMUEL SITTA1 2e273

 

 

 

Mh Samuel Sitta akitoka kutoa maoni Katiba Mpya

 

Posted On Tuesday, 22 January 2013 06:41

 DSC0221 d6306

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Makamu wa Rais wa Zimbabwe Marehemu Dkt. Landa John Nkomo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana  kwenye Makaburi ya Mashujaa jijini Harare. (Picha na OMR)

 DSC0239 4ba9d

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kushoto akizungumza na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe alipomtembelea  Ikulu ya Harare  jana  kwa lengo la  kumfariji kutokana na kifo cha

Posted On Tuesday, 22 January 2013 06:21

 

Muonekano wa Jengo la Uhuru Heights lililopo barabara ya Bibi Titi Mohammed liking’arisha jiji la Dar nyakati za usiku.Picha na Mo Blog

Mgeni rasmi Balozi wa Pakistan nchini Tanzania Tajammul Altaf akipokea shada la maua kutoka kwa watoto Ilsa na Alaisa ikiwa shukrani kwa kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa jengo la Uhuru Heights. Kushoto ni Mwenyekiti wa Cosmos Group ambao ndio wamiliki wa jengo la Uhuru Heights Muhammad Owasi Pardesi na wa pili kulia ni

Posted On Tuesday, 22 January 2013 06:13

DSC 0798 73715

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo (wa pili kulia) akimkabidhi Kamba Ndg. Martin Laiboki kama ishara ya zawadi ya Ng’ombe aliyozawadiwa na Uongozi na Wafanyakazi wa Hifadhi ya Tarangire kwenye hafla ya jioni ya kumuaga baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uhifadhi na Ekolojia  TANAPA Makao Makuu, awali Ndg. Laiboki alikuwa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Tarangire.

Posted On Tuesday, 22 January 2013 05:57

540793 9fd59

Na: Mwandishi Maalum

Tanzania  imelitaka  Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa  kuendelea kuunga mkono mikakati na juhudi mbalimbali zinazolenga katika kurejesha amani ya kudumu katika eneo la  Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wito  huo umetolewa na  Mhe. Tuvako Manongi,Balozi wa  Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania katika Umoja wa Mataifa. Alikuwa akichangia majadiliano ya...

Posted On Tuesday, 22 January 2013 05:46

muhimbili ec810Ndugu zangu,
Jana usiku nilifika Wodi ya Sewa Haji pale Muhimbili kumwona ndugu yangu aliyepata ajali.

Hakukuwa na ruhusa ya kuingia wodini kwa vile ni usiku. Baada ya kujieleza kwa mlinzi akanielewa. Nikaruhusiwa kuingia, maana, mgonjwa alinihusu sana na kesho nisingeweza kumwona.

Posted On Tuesday, 22 January 2013 05:43

                                                                                Mkapic 53240

Na: Fredy Azzah

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameelezea kufedheheshwa kwake na mgogoro wa gesi, huku akiwataka wananchi na wadau wa maendeleo wa Mkoa wa Mtwara kusitisha harakati za maandamano na mihadhara. Mkapa alitaka wakazi hao

Posted On Tuesday, 22 January 2013 05:17

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba akizungumza na wafanyakazi wa TTCL wakati wa Mkutano wa kutoa kero zao kuhusu Hali mbaya inayoikabiri Kampuni ya Simu ya TTCL na migogoro iliyopo kwenye

Posted On Tuesday, 22 January 2013 05:05

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi