We have 97 guests and no members online

Simu

IMG-20130122-00443 d6cbc

Posted On Tuesday, 22 January 2013 05:02

IMG-20130122-00429 d91ae

Bonyeza hapa chini kusoma mengine

Posted On Tuesday, 22 January 2013 04:52

kp21012013 6d77a

Posted On Tuesday, 22 January 2013 04:58

ATCL 1Wahandisi wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakikamilisha kufunga kioo kipya ambacho kimenunuliwa kutoka nchini Marekani cha ndege yao aina ya Dash-8 Q300 yenye namba za usajili SH-MWF ambayo ilipata ufa (Wind Shield Crack) tarehe 11 Januari, 2013, muda mfupi baada ya ndege hiyo kuruka kutoka Kigoma kurudi Dar Es Salaam katika safari zake za kawaida.

Posted On Tuesday, 22 January 2013 03:53

 KERO

NA: MOBINI SARYA,TANPRESS

WAKATI juhudi za kusafisha mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam,zikiwa zimeshika kasi kampuni ya kufua umeme Tanesco imelaumiwa kukwamisha juhudi hizo kwa kukata miti na kuacha taka zimezagaa hivyo. Akizungumza na shirika la habari nchini Tanpress msemaji wa kampuni ya Green Weste Pro Ltd iliyopewa tenda ya kuzoa taka  maeneo ya

Posted On Monday, 21 January 2013 16:55

p21

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013

PICHA NA IKULU

Posted On Monday, 21 January 2013 16:05

c2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima yake mjini Paris Ufaransa leo Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi kwa ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini humo.

PICHA NA IKULU

 

Posted On Monday, 21 January 2013 15:50

IMG_0263

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akimsikiliza Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bibi Vibeke Jensen alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia maeneo ya kushirikiana na Wizara katika Sekta ya Utamaduni na Habari. (Picha na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

 

Posted On Monday, 21 January 2013 15:42

balozi1 53f24

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Rwanda, Dk. Ben Rugangizi aliyemtembelea ofisini kwake, leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, (Picha zote na Bashir Nkoromo

Posted On Monday, 21 January 2013 14:13

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimpa pole mfiwa,Mama Khadija Kusaga wakati alipofika nyumbani kwake Keko Maghorofani jijini Dar es salaam jana.

 

Posted On Monday, 21 January 2013 11:23

gesi2 d336e

... Huhitaji kuwa Sheikh Yahya kuweza kutabiri kitakachotokea...!

Posted On Monday, 21 January 2013 11:15

ubungo1 6ac3f

ubungo2 cc0a5

SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri umeanguka na kuyaharibu vibaya magari zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.

Posted On Monday, 21 January 2013 11:04

   Naibu Meya Bw Ndaki

 

Na  Francis Godwin,
WAKATI vyama  vya upinzani nchini vikipinga ziara  za rais Jakaya Kikwete nje ya nchi Halmashauri ya  Manispaa ya Iringa mkoani Iringa imepongeza  ziara  za Rais Jakaya Kikwete  nje ya nchi kuwa  imesaidia  kuiwezesha Halmashauri hiyo  kupata  fedha za miradi mikubwa  ukiwemo mradi  wa stendi ya  kisasa pamoja na kuboresha mji  huo zaidi.

Posted On Monday, 21 January 2013 06:25

 

 

TFF a1e7a

Ujenzi wa vifaa (turnstiles) vitakavyotumika kwa ajili ya tiketi za elektroniki kwenye viwanja saba kati ya nane vitakavyotumia mfumo huo umekamilika kwa asilimia 80.Viwanja hivyo ni

Posted On Monday, 21 January 2013 06:42

CRC-Katibu Mkuu Mstaafu Mrisho2 72b98

Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Vincent Mrisho akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano kati yake na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jana (Jumapili, Jan 20, 2013). Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Jospeh Warioba.

Posted On Monday, 21 January 2013 06:26

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi