We have 95 guests and no members online

Simu

1

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akiwakagua wachezaji wa timu ya Mikocheni Warriors na wachezaji wa timu ya Kawe Kombaini wakati wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Meya, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda.

 

Posted On Monday, 21 January 2013 06:02

IMG-20130121-00394 d43ae

Bonyeza hapa chini kusoma mengine...

Posted On Monday, 21 January 2013 03:29

IMG_0129

Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsalimia mtoto Abrahamu Omari (miezi 3) ambaye amebebwa na mama yake mwenye ulemavu wa ngozi anaitwa Amina Fadhilinyuma ya waziri mkuu ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Reginali Mengi

Posted On Monday, 21 January 2013 02:31

 

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na mke wa Rais wa Mali Mama Touré Lobbo Traoré waliyekutana naye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuwasili tayari kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu.

Posted On Monday, 21 January 2013 02:17

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza, alipokutana nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo.

Wajumbe wa nyumba kumi wakimsilikiza Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza muda huu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara baadaye kwenye Uwanja huo.

 

Posted On Sunday, 20 January 2013 14:51

Edo Mwamalala

BAADA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumtimuwa uwanachama

Edo Mwamalala, hatimaye mwanachama huyo ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mageuzi ya Taifa (NCCR- Mageuzi).

 

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,

 

Posted On Sunday, 20 January 2013 14:47

c1 b5a62

 

Ndugu zangu,

Nimepata kuandika, kuwa ni heri kufa na kuacha fikra zinazoishi kuliko kuishi bila kufikiri. Na hakuna njaa mbaya kwenye dunia hii kama njaa ya akili. Kwa mwanadamu, ukiwa na shibe ya akili unaweza kumaliza njaa ya tumbo.

Ninachoandika hapa kinakutaka

Posted On Sunday, 20 January 2013 11:29

picha na 6

Mgeni rasmi , Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Eng. Dkt. Richard Masika wakiwa wameshikia mfano wa Hundi wa sh.  Mil 10 kwa ajili ya wanafunzi 10 bora. Fedha hizi ni Ahadi ya

Posted On Sunday, 20 January 2013 08:21

MtotoHanifa

Mtoto Hanifa Salum Hassan mwenye umri wa miaka mitano anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Damu (Leukemia) ambao umemfanya ashindwe kusimama na kutembea, anasumbuliwa na maumivu ya kichwa wakati wote, wakati mwingine

Posted On Sunday, 20 January 2013 08:13

DSC00915 09917

Picha ni jana jioni pale

Posted On Sunday, 20 January 2013 06:47

DK-HARRISON-MWAKYEMBEMAWAZIRI wanne wamebaini kuondolewa kipengele ndani ya mkataba kinachomtaka mkandarasi wa Kampuni ya ujenzi ya Leinton ya Singapore kuiachia Mamlaka ya Bandari (TPA) vifaa vyenye thamani ya sh bilioni 3 baada ya kumaliza ujenzi.

Posted On Sunday, 20 January 2013 04:53

IMG  5452

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar        

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema Serikali yake ina dhamira ya dhati ya kuimarisha Sekta ya Viwanda Zanzibar na jitihada za kuitekeleza dhamira hiyo zimeshaanza, ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa huduma za umeme wa uhakika katika maeneo mengi ya Unguja na Pemba.

 

Posted On Sunday, 20 January 2013 04:48

IMG-20130120-00383 b6329

Bonyeza hapa kusoma mengine

Posted On Sunday, 20 January 2013 04:40

kahama-utouh e05e4

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam  (Jumamosi, Januari 19, 2013). Bw. Utouh alikutana na Wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni ya taasisi yake kuhusu Katiba Mpya.

Posted On Saturday, 19 January 2013 14:22

DSC00508Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Alhaj Salum Mohammed Chima akimkabidhi Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Aggrey Mwanri Vitabu vya Mafanikio ya Miaka 50 ya Uhuru Mkoa wa Rukwa mara baada ya kuvizindua katika moja ya matukio ya shughuli zake za kikazi mkoani Rukwa. Anayeshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Dkt. Rajab Rutegwe.

Posted On Saturday, 19 January 2013 14:06

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi