We have 93 guests and no members online

Simu

TanzaniaFootballFederation1 a09cb

Release No. 08

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Januari 19, 2013

UCHAGUZI WA VIONGOZI TAFCA WAAHIRISHWA

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeahirisha uchaguzi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) uliokuwa ufanyike leo (Januari 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam.

Posted On Saturday, 19 January 2013 13:46

 

simba6 76b93

MWANANCHI.

MABINGWA wa Tanzania, Simba wameendelea kupokea kipigo nchini Oman baada ya jana kufungwa mabao 3-1 na timu ya Taifa ya Jeshi ya Oman.Kiungo wa Simba, Haruna Moshi alifunga bao la

Posted On Saturday, 19 January 2013 11:10

RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) anaanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Ufaransa leo, Jumamosi, Januari 19, 2013, kwa mwaliko wa Rais wa Ufaransa, Mheshimiwa Francois Hollande.

 

Posted On Saturday, 19 January 2013 10:06

1(8)Washiriki wanao wanania Taji la Miss Utalii 2012/13 wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwasili Kambini, Ikondolelo Lodge Hoteli iliyopo Kibamba Jijini Dar es salaam.

………………………………………………………………………….

 

Posted On Saturday, 19 January 2013 08:35

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Azania wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha Sita ya shule hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa yaliyofanyika leo jijini Dar.

Mgeni rasmi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akibadilishana mawazo na baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ambapo na yeye pia alikuwa ni miongoni mwa baadhi ya viongozi waliosoma shule hapo baada ya kuwasili kwenye hafla mahafali ya wanafunzi wa kidato cha sita.

Posted On Saturday, 19 January 2013 08:18

67643 4714714898589 927866914 n fbeec


Pichani mbele kulia kuna wanaokimbia mchakamchaka. Nilikutana nao leo asubuhi. Wanakimbia huku...

Posted On Saturday, 19 January 2013 07:04

379292 4714722098769 897390025 n bc4b6

Posted On Saturday, 19 January 2013 07:02

23377 4714728818937 264065322 n 45645

Posted On Saturday, 19 January 2013 06:58

IMG-20130119-00371 a18f1

Bonyeza hapa chini kusoma magazeti mengine

Posted On Saturday, 19 January 2013 04:19

Na:  Pamela Chilongola

WAKATI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwasilisha rai ya kupunguza gharama za mwingiliano wa simu , Kampuni ya Tigo imekataa kufanya hivyo kwa madai kuwa itahatarisha uwekezaji wake kwa punguzo la asilimia 69. Msimamo huo wa Tigo, umekuja

Posted On Saturday, 19 January 2013 03:45

Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri wa Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akikata utepe kuzindua Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air, Michael Shirima. 

Posted On Saturday, 19 January 2013 02:43

 

Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info kwa sasa upo hewani baada ya kutopatikana kuanzia Jumatano asubuhi kutokana na

Posted On Saturday, 19 January 2013 02:31

 

IMG_0037

Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na  Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa baada yakushuka katika ndege uwanja wa Dsm wakitokea Dodoma Mh Pinda alikuwa Dodoma ambako alifungua mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Serekali za Mitaa  nyuma yao ni

Posted On Saturday, 19 January 2013 02:25

 

IMG_1328

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kituo cha Kijiji cha Matumaini mjini Dodoma ,mara baada ya kutoa msaada wa Luninga bapa (Flat Screen Televition) katika kituo hicho kinacholea watoto yatima  kulia kwa waziri mkuu ni

Posted On Saturday, 19 January 2013 02:08

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

 

Wanamichezo 50 kati ya 52 waliochukua fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Februari 24 mwaka huu wamerejesha fomu hizo. Waombaji ambao hawakurejesha fomu ni Geofrey Nyange aliyekuwa akiomba ujumbe wa Kamati ya Utendaji kuwakilisha mikoa ya

Posted On Saturday, 19 January 2013 01:59

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi