We have 92 guests and no members online

Simu

Mwenyekiti wa CCM jimbo la Singida mjini, Hamisi Nguli (kushoto) akikabidhi vifaa vya michezo kwa kiongozi wa tawi la Mitunduruni.

Posted On Thursday, 17 January 2013 15:16

 

IMG  335

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wanZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokua akizungumza na  Viongozi wa Tawi la CCM Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa  Jumuiya mbali mbali za Chama  hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana,Makamo  Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimiana na Viongozi hao ikiwa  ni pamoja na  kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Posted On Thursday, 17 January 2013 15:07

541883 4697947999427 837786969 n 874e0

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:45

 

220px-Coat of arms of Tanzania.svg cccb7

 

Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia Baraza la Sanaa la Taifa, limebariki kufanyika kwa Fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania 2012/13 baada ya kuridhishwa na maandalizi yaliyo fanywa na Miss Tourism Tanzania Organisation waandaaji wenye dhima ya kikomo ya kuandaa na kuendesha mashindano hayo kitaifa na kimataifa, pia kwa kuzingatia sheria za nchi, kanuni na Taratibu za mashindano.

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:35

 

IMG_6184Meneja Mauzo na Masoko wa Push Media Mobile, Rodney Rugambo akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa shindano la kampeni maalum ya kuadhimisha sikukuu ya wapendanao ‘ Valentine Day’ iliyoandaliwa kwa kushirikiana na Kampuni ya African Media group (AMG) kupitia kituo cha televisheni cha Channel Ten na Redio Magic FM. Kushoto ni AFISA Masoko na Mauzo wa AMG,  Prosper Vedasto

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:29

DSC00328 020c6

Picha na Emmanuel Marijani

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:19

1- Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasiisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akifunga kongamano la Ulimwengu la afya ya Uzazi mjini aru 84612

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akifunga kongamano la Ulimwengu la Afya ya Uzazi la  siku 3 Katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa AICC mjini Arusha leo, Kongamano hilo lilewashirikisha wataalamu wa masuala ya afya ya  uzazi wapatao 800 kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni,

                                      (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Posted On Thursday, 17 January 2013 13:57

TFF a1e7a

Wakati kesho ndiyo mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi kwenye uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board) waombaji 36 wameshachukua na 18 tayari wamesharejesha.

Posted On Thursday, 17 January 2013 13:47

4 09c98

Makatibu wakuu wa Zanzibar wakiwa katika Semina yapamoja kuhusu Kazi na Wajibu wa Tume ya Sayansi na Teknologia iliyotayarishwa na Tume hiyo huko Makumbusho ya Kasri Forodhani mjini Zanzibar.

                              Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

Posted On Thursday, 17 January 2013 13:27

CRC-Mzee Maelecela1 5828a

Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliokutana nao leo (Alhamisi, Jan 17, 2013) kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani na Mjumbe wa Tume Prof. Mwesiga Baregu.

Posted On Thursday, 17 January 2013 13:20

DSCF7155 560e3

Picha za wafanyakazi wa shirika la hifadhi za taifa (TANAPA) wakiwa na familia zao kwenye sherehe za familia zilizofanyika kwenye bustani ya Triple A iliyoko sakina nje kidogo ya Jji hili mwishoni mwa wiki.

Posted On Thursday, 17 January 2013 09:48

 

 

                                                               Rais Jakaya Kikwete 

Na:  Tausi Mbowe

Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Asasi ya Ulinzi na Usalama ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Sadc)- Troika, awali alikutana na mpinzani mkuu wa Rais Rajoelina ambaye ni Rais wa zamani wa Madagascar, Marc Ravalomanana na kumshawishi kukukubali kurudi nchini kwake baada ya kuwa uhamishoni nchini Afrika Kusini tangu mwaka 2009.

Posted On Thursday, 17 January 2013 09:29

 

Mstaiki meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu kuja kujionea mbinu za kisasa za kukusanya mapato. Mstaiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa amewakaribisha na kuwaeleza jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.

Posted On Thursday, 17 January 2013 09:23

 

 

             Marehemu Judith Chikaka Mapunda enzi za uhai wake.(Angalia picha zaidi)

Posted On Thursday, 17 January 2013 09:15

 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba akimsikiliza Gavana wa Lions Ukanda wa Uganda na Tanzania, Joseph Kiwanuka, wakati alipomtembelea leo ofisini kwake akiwa na ujumbe wa watu watano.

Posted On Thursday, 17 January 2013 09:05

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi