We have 92 guests and no members online

Simu

100 5330 0fd8d

Posted On Thursday, 17 January 2013 06:45

 

 

TFF 1a5a2

Wadau watatu wa mpira wa miguu wamechukua fomu za kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kufanya idadi ya waliojitosa katika uchaguzi huo utakaofanyika Februari 24 mwaka huu kufikia 30. Hata hivyo, idadi hiyo ni kwa wale wanaochukua fomu hizo katika ofisi za TFF, kwani vilevile zinapatikana kupitia tovuti ya TFF ya www.tff.or.tz ambapo mwisho wa kuchukua na kurejesha ni saa 10 kamili alasiri Januari 18 mwaka huu.

Posted On Thursday, 17 January 2013 06:18

1- Mama Jk kushoto akielekea ARS kushoto NW wa Afya Dr. Seif Rashid 2f852

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete(kushoto) pamoja na Naibu wa Wizara ya Afya Dkt.Seif Rashid (mwenye miwani) wakielekea kupanda ndege katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa- JK- Nyerere jijini Dar es Salaam 16-jan 2013 kuelekea  Arusha kwaajili ya kufunga mkutano wa masuala ya Afya na Mtoto jan 17,2013. Mkutano huo unawashirikisha wajumbe wapatao 700 wa ndani na nje ya nchi. (picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Posted On Thursday, 17 January 2013 05:49

 

Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Solanus Nyimbi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (kulia) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo (PICHA NA TUME YA KATIBA)

Posted On Thursday, 17 January 2013 05:37

18 a953d

Posted On Thursday, 17 January 2013 05:32

http://api.ning.com/files/YwgxESvlyQ7MAiAkeI1920Bv5KpUD62CflsKrq*BbdeRWepRd4ZZ5Q3Xuph3*57bl44ZCwGLImS-N0yH0XsJXcmmY7*4bOgH/GLOBALWEBSITELOGO.jpg


Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu.

Posted On Thursday, 17 January 2013 05:29

 

 

 

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Kamishna Robert Manumba 

Na:  Raymond Kaminyoge

HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Kamishna Robert Manumba ni mbaya na amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.Habari zilizopatikana jana zilieleza kuwa Manumba amelazwa hospitalini hapo baada ya kusumbuliwa na maradhi kadhaa, ikiwamo figo.

Posted On Thursday, 17 January 2013 05:03

 

                                                Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi

 

Na: Gladness Mushi Arusha

SERIKALI kwa kushirikiana na wadau inaendelea kutekeleza mpango wa miradi ya miaka mitano wa kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga wakati wa kujifungua na walio chini ya miaka mitano ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma ya mama na mtoto na kuokoa maisha yao.

Posted On Thursday, 17 January 2013 04:54

 

Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Dar es Salaam wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Uzalishaji Bia wa Kiwanda cha Bia cha TBL Arusha, Ben Mwanri (wa pili kushoto), walipotembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha Arusha, wakati wa  ziara ya siku moja kujionea shughuli mbalimbali za kiwanda hicho mwishoni mwa wiki.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 15:46


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasha mshumaa kama ishara ya uzinduzi wa Awamu ya Kwanza ya jengo jipya na Awamu ya pili ya Hospitali ya Shree Hindu Mandal ya jijini Dar es salaam leo katika Mtaa wa Nyanza, ambapo huduma hiyo itapunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali jijini na kuongeza wigo wa utoaji huduma n kuongeza vitanda vya kulaza wagonjwa, Hospitali ya Shree Hindu Mandalilianzishwa mwaka 1931 ikianza na Zahanati anayeshuhudiatukio hilowa pili katikati ni Mwenyekiti wa hospitali hiyo Bw Ramesh Patel.

                                  (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

Posted On Wednesday, 16 January 2013 15:32

 

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mstahiki Yusuph Mwenda alifanya ziara ya uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Ndumbwi, Kata ya Mbezi Juu mwishoni mwa wiki iliyopita, jijini Dar es Salaam. Daraja hilo linalojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211 na kampuni ya ujenzi ya genimex Construction Ltd litasaidia kuondoa kero ya muda mrefu ya wakazi wa Kata ya Mbezi Juu kufuatia kukatika kwa mawasiliano baina ya wakazi hao kutokana na mvua za mara kwa mara zilizokuwa zikinyesha. Aidha, ujenzi wa Daraja jingine lilaounganisha wakazi wa Ndumbwi na Zahanati utaanza hivi karibuni. Pichani ni sehemu ya ziara yake pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja hilo.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 15:23

 

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na Rais wa Benin, Mheshimiwa Dkt. Boni Yayi amewasili nchini usiku wa leo, Jumanne, Januari 15, 2013, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 15:15

 

 

DSCF0119 202e8

 

NA: SAID NG’AMILO.

Leo asubuhi majira ya saa mbili katika eneo la Semtema (B) Kata ya kihesa katika Manispaa ya Iringa Umeokotwa mwili wa mtoto mchanga wakike waumri wa sikumoja anaedhaniwa alitupwa baada ya kuzaliwa kandonimwa korongo.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 14:49

CRC-Mzee Mkapa akiongea dcbfb

Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa (kulia) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na Dkt. Salim Ahmed Salim. Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 14:23

Picha na 1 9a7cc

Na. Aron Msigwa – MAELEZO.

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana nchini kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akisisitiza kwa wajumbe wa mkutano wa tathmini ya mbio za Mwenge mwaka 2012 kuhusu serikali kufuatiliaji  maendeleo ya miradi inayozinduliwa wakati wa mbio za Mwenge mjini Zanzbar.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 14:13

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi