We have 96 guests and no members online

Simu

GEDC1290 7baa0

Na: Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha

Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto amewaambia wakazi wa Mtaa wa Sanawari waliopo Kata ya Sekei iliyopo halmashauri ya jiji la Arusha waunganishe nguvu zao pamoja ili waweze kuushinda uhalifu.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 10:22

100 5321 8fed9

Posted On Wednesday, 16 January 2013 07:04

 

 

SERIKALI imesema haitavumilia kwa namna yeyote ile vurugu za kidini, kikanda na ukabila ambazo baadhi yake zilitaka kulitia doa taifa mwaka jana. Pia imesisitiza kwamba haitawavumilia wanasiasa wanaotumia rasilimali za taifa kujitafutia umaarufu kwa gharama za kuligawa taifa.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 06:39

4mama salma akisoma hotuba bda00

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea kwenye hafla  maalumu ya kuwakaribisha wake wa Balozi nchini kwa  mwaka mpya 2013, Hafla hiyo imefanyika  katika viwanja vya Ikulu jijini Dar- es Salaam , Jan 15,2013, (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Posted On Wednesday, 16 January 2013 06:21

Maggid Mjengwa naweza kumwita rafiki kwa maana ni mtu tunaefahamiana naye vizuri na hata huwa tunapata nafasi ya kubadirishana mawazo.

Mimi binafi namtia moyo aendelee kuelimisha na kufurahisha jamii kupitia makala mabalimbali anazoziandika.

Leo hii nimewajibika kumjibu bwana Maggid ingawa si kawaida yangu kuwajibu watu kwa makala walizoziandika isipokuwa tu pale ambapo  mwandishi wa makala mwenye uelewa kama Maggid kwa makusudi kabisa anaamua kupotosha jamii.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 05:11

582442 10152382144810063 1077508772 n 8b1ed

Na: Boniface Meena

KATIKA kuonyesha hali si shwari ndani ya Chadema, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha) wa chama hicho, Juliana Shonza amesema ameamua kumshtaki Mwenyekiti wake, John Heche kwa kumuita kuwa ni msaliti wa chama na kwamba anatumiwa na CCM na kuamua kumfukuza nafasi yake bila kutoa nafasi ya kusikilizwa.

Posted On Wednesday, 16 January 2013 03:06

24461 4687414496096 948459884 n 02457


Mwenyekiti wa The Norwich Tanzania Trust. Alikuwa nchini kwa ziara ya majuma mawili. Mbali ya shughuli zake nyingine, Karrima Carter alitembelea Iringa na Mbeya na hususan kijijini Mahango, Madibira. Huko Mfuko huo wa Hisani wa Norwich unafadhili mradi wa Maktaba ya Kijamii kwenye Kata ya Madibira. Pia wanafadhili mradi wa uchimbaji wa visima.

Posted On Tuesday, 15 January 2013 18:52

DSCF0119 c1dfc

Iringa, kituo cha mabasi (Picha na Said Ng'amilo)

Posted On Tuesday, 15 January 2013 14:47

DSCF9932 d6905

Mh. Deo Filikunjombe Uso kwa Uso na Seetani.

Posted On Tuesday, 15 January 2013 14:33

Police1 7c9a1

YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA

HABARI TAREHE 15/01/2013

Mtu mmoja amefariki Dunia Mkoani Dodoma katika tukio la ajali ya gari kumgonga mtembea kwa miguu na kusababisha kifo.

Posted On Tuesday, 15 January 2013 14:24

3 e4c4b

Na: Heka Paul- Maelezo

Shirika la Fedha Duniani(IMF) limepomngeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa kisera ambao umesaidia utulivu wa kiuchumi ambao umesaidia kuleta matumaini hatua iliyosababisha mfumuko wa uchumi hapa nchini kuendelea kushuka.

Posted On Tuesday, 15 January 2013 14:04

1 9af88

Hapo kuna tembele, mlenda na kachumbari. Bila kusahau pilipili shamba. Kwa dada Hanifa, Iringa, leo mchana.

Posted On Tuesday, 15 January 2013 13:51

4 827c8

Mangula akizungumza na Wazee wa CCM kutoka mkoa wa Singida, waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,Lumumba Dar es Salaam, kumpa ujumbe maalum wa kuimarisha chama. Kushoto ni Mzee Sumbu Galawa na kulia ni  Alhaj Mahami Rajabu Kundya na  Mujengi Gwao. (Picha zote na Bashir Nkoromo, Uenezi-CCM)

 

Posted On Tuesday, 15 January 2013 13:45

1 48eb0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha  Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha. Picha na OMR

Posted On Tuesday, 15 January 2013 13:15

WASIRA 3872b

NA: MWANDISHI WETU


UHALISIA wa kukua kwa uchumi hadi mifukoni mwa wananchi walio wengi una matumaini ya kufikiwa kutokana na utekelezwaji  madhubuti wa kuinua Kilimo kupitia mpango wa Kilimo Kwanza unayotekelezwa na serikali.

Posted On Tuesday, 15 January 2013 13:01

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi