We have 188 guests and no members online

Maji
×

Warning

JUser: :_load: Unable to load user with ID: 641

Sasa Lipia Startimes, Ting, Dstv Na Zuku Television Kupitia M-pesa
Sasa lipia Startimes, Ting, Dstv na Zuku Televisionkupitia M-pesa na ufurahie muda wa maongezi wa Tsh1000 BURE papo hapo!

Piga *150*00#
...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
<!--[if gte mso 10]> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-qformat:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
Hukumu Kesi Ya Lema Yaibua Mapya

 Na: James Magai
MWANAZUONI aliyebobea katika sheria, Profesa Issa Shivji na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Francis Stolla wamekosoa hukumu ya Mahakama ya Rufani, iliyomrejesha bungeni, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti juzi, wanasheria hao walisema hukumu hiyo iliyotolewa na
...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
Afia Gesti Akitolewa Mimba

 Na: Raisa Said, Tanga 

MWANAFUNZI  wa kidato  cha tatu katika shule ya Sekondari ya Tongoni nje kidogo ya jiji la  Tanga,  (jina tunalihifadhi) amekutwa amekufa ndani ya nyumba ya kulala wageni alikopelekwa kutolewa mimba bila mafanikio.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi wa...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38
Utamaduni Wa Wachunga Ng'ombe, Ni Fimbo Mkononi
  Jana mchana, kijijini Kalambanzite-Sumbawanga...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38
Filikunjombe Kuanza Ziara Ziwa Nyasa Leo

Filikunjombe Kuanza Ziara Ziwa Nyasa Leo
Tutawaletea habari zaidi hapo baadae...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38
Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa

Magazeti Leo Ijumaa
Tunaomba radhi tumechelewa kidogo kuweka magazeti,ni kwa sababu za kiufundi.tunaahidi kuendelea kuwawekea magazeti mapema zaidi.
Msaidizi wa mwenyekiti,Dar...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38
Krismass Ni Kero Ya Muungano!..(Annur)
...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38
Vya Krismas Vimepita, Wengine Tumerudi Kwenye Ugali Na Mlenda Wetu!

Ndugu zangu,
Marehemu bibi yangu mzaa baba, Binti Ngondya Wa Senjonjo wa Nyeregete , Mbarali, yeye haikupita wiki bila kupika ugali na mlenda.

Na marehemu bibi yangu mzaa mama, Binti Muhando Mwaruka wa Mzenga, Kisarawe, naye pia haikupita wiki bila kupika 'pombo'- ni mlenda huo huo kwa ugali. Tuliokuwa wajukuu tulifaidi kweli.

Na hakika, hivyo...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38

 

Walenga walisema adhabu ya kaburi aijuaye maiti na ukiona aisifiaye mvua ujue imenyea. Misemo hii ni kweli kabisa kwani pilipili iliyo shamba haiwezi kukuwasha wewe mtu uliye mujini. Kuna siku za nyuma niliwahi kuandika makala nikielezea umuhimu wa tekinolojia, nilizungumzia mambo mengi sana likiwemo la kurahisisha maisha na sio kuongeza ugumu.

 

Tekinolojia inayofanya maisha yawe magumu sio tekinolojia inayokubalika katika ulimwengu wa leo, na tegemea kukimbiwa kama ukoma.Kuna usemi unaosema "IT Doesn't Matter" akimaanisha tekinolojia ya mawasiliano sio kitu, hapa hawamaanishi kuwa tekinolojia ni boya, bali kuwa na tekinolojia sio kitu kigeni, kitu kigeni ni manufaa yake.

Posted On Friday, 28 December 2012 08:16

Niko Ruaha N'Park Pamoja Na Kikosi Kizima.


Jioni hii tumeona simba 12 wakimtafuna twiga mmoja. Hii ni park ya kuvutia, na sisi wa Iringa ni karibu na gharama nafuu.

 

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

Supa Cheka Kwa Kila Mmoja

 

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

‘Kuna Binadamu Ambao, Kwa Kujali Fedha Wanauza Sumu Kwa Binadamu Wenzao’\

Na: Meshack Maganga-Iringa.

Ndugu zangu,

Dhumuni la wewe na mimi kuwepo duniani ni kuishi maisha yenye madhumuni, maisha yenye mafanikio na maisha yanayonufaisha wengine. Wanadamu wote walioweza kufanikiwa kwa kujitengenezea mafanikio wenyewe kutoka chini ni wale ambao wametambua sababu ya wao kuwa wao, wanajua ni nini wao na wenzao wanakitaka na wanajua kuwa ili maisha yao yawe na maana lazima wafanikiwe katika hilo.Ukitaka kutengeneza maisha yenye mafanikio duniani, tafuta kujua dhumuni lako hapa duniani.

Ndoto kwenye maisha yetu ni malengo yetu ya kuwa hapa duniani. Kutafakari na kuwa na vusheni kwa nini mtu yuko hapa duniani na jindi mtu anavyojiambia kuhusu anachoamini ndilo lengo lake la kuwepo hapa duniani. Lakini kwa bahati mbaya wengi wetu hatujui malengo yetu, kama tulivyokeisha sema hapo awali.

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

Mlimani Dar...!

chuo kikuu cha Dar es salaam bado kina mandhari ya kuvutia...

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

Magazeti Leo Jumatatu

 

Magazeti Leo Jumatatu

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi