We have 197 guests and no members online

Watumishi

Makamu Wa Rais Awatembelea Wazee Wa Mkokotoni Kasikazini Unguja

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu...

Posted On Sunday, 23 December 2012 16:49
Rage Akutana Na Rais Wa Timu Ya Fanja Oman
Mwenyekiti wa Simba Ismail Rage akiwa na mwenyeji wake Rais wa timu ya Fanja ya Oman...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
A Taste Of ' Village Hall Meeting'- Mahango - Madibira

Leo asubuhi. Nilipata bahati ya kuzungumza mbele ya madiwani wa kata mbili za Madibira na Miyombweni; Waheshimiwa Sanga na Luwekelo. Kulikuwa na watendaji wa kata zote mbili. Kulikuwa na walimu wakuu wa shule nne za za msingi za kata. Kulikuwa na wenyeviti wa kamati za shule. Kulikuwa na wajumbe wa kamati. Jumla ya watu wapatao 15. 
Nilie...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Sihitaji Ulinzi, Ninao Makamanda Wangu!
Wawili mbele, na wawili nyuma. Leo hata kamanda mwenye mafua alijikaza na kujiunga kwenye msafara wa kwenda kijijini Mahango- Madibira....
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22

Magazeti Leo Jumapili

Magazeti Leo Jumapili

Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Kipanya Leo...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Tafsiri Yangu Wiki Hii

Tafsiri Yangu Wiki Hii

Tafsiri Yangu Wiki Hii...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Azonto Night...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Mandhari Nzuri Hii......
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22

Ombaomba 14 Kurudishwa Makwao
OMBAOMBA1 4 watasafirishwa makwao baada ya kukamatwa ndani ya Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na Nje ya nchi , Ubungo (UBT), wakiishi kama makazi yao ya kudumu kinyume cha sheria.
 Akizungumza na Fullshangweblog  jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa Kituo hicho Juma Iddi, alisema ombaomba hao walikamatwa wiki moja iliyopita na...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Kamanda Olle Ana Mashabiki Wake Madibira....
Kamanda Olle Ana Mashabiki Wake Madibira....

Wasomaji wa uhambuzi wake wa soka kwenye Mwanaspoti. Pichani ni jana alasiri, Madibira.
...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22

Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Tiba Muhimbili (Muhas) Kujenga Hospitali Na Chuo Kibamba 
CHUO kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (Muhas) kinatarajia kujenga hospitali na chuo katika eneo la Mloganzila Kibamba, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Hospitali hiyo itakuwa ya kisasa inayowiana na ile ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambapo kukamilika kwake itakuwa na vitanda 600.
 
Mkurugunzi wa Mipango na Maendeleo ya mradi mpya
...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Azam Na Coastal Kucheza Fainali Kombe La Uhai                                                  
Azam ya Dar es Salaam na Coastal Union ya Tanga...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Igomaa, kijiji Cha Mpakani Mwa Iringa Na Mbeya....

Igomaa iko Mufindi Kaskazini. Ukitoka hapa unapandisha mlima, na ukishuka unaingia kijiji cha Mkunywa ndani ya Bonde la Usangu, Mbarali, Mbeya....
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Babu Naye Anatuzingua Barabarani!

Pichani ni Mafinga, jana jioni. Mchoraji amesahau kuchora ' Kikombe Cha Babu'. Babu bila kikombe anaonekana kama ' Jordi Alba'- Ama , Babu wa Loliondo naye ni Celebrity! Naam, Bongo kila kitu kinawezekana, na kinyume chake!
Good Morning!...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi