We have 196 guests and no members online

Watumishi
Jeshi La Polisi Latoa Siku Saba Kwa Baadhi Ya Askari Wanaodaiwa Kuiba Milioni 150 Zilizo Porwa

JESHI la Polisi limetoa siku saba kwa baadhi ya askari kuzisalimisha  fedha zipatazo sh milioni 150 wanazodaiwa kuiba, ambazo zilizoporwa na majambazi Mtaa wa Mahiwa na Livingston jijini Dar es Salaam juzi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Suleiman Kova, alisema kutokana na tuhuma hizo jeshi...
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:46
Furahia Huduma Za BlackBerry Internet Service (BIS)

 

Furahia Huduma za BlackBerry Internet Service (BIS) kwa gharama nafuu kutoka Vodacom. Furahia intaneti isiyo na kikomo na yenye spidi na Huduma zote za BlackBerry kuanzia e-mail, kuperuzi mitandao ya kijamii na BBM!

Kwa kianzio cha Tsh500 tuu!

Kazi ni kwako
...
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:55
Siku Ya Tuzo Za Wanataaluma Yasogezwa Mbele
Wazalendo,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa kutokana na maombi ya

wanataaluma wengi kuwa mwishoni mwa mwezi desemba wanakuwa likizo.
Hivyo basi TPN imesikiliza maoni hayo na tumeamua kuisogeza mbele siku hii
ya wanataaluma Tanzania hadi mapema mwaka 2013.
Siku na Mahali tutawajulisha hapo baadae, mambo yote yaliyopangwa

yatafanyika.
Kutok
...
Posted On Thursday, 20 December 2012 18:47
Polisi Watuhumiwa Kubambikiza Watu Kesi Arusha
Mahmoud Ahmad Arusha
Jeshi la polisi mkoani hapa linatuhumiwa kwa kuwabambikia kesi wanafamilia moja jijini hapa licha ya kesi ya msingi kuwepo kwenye mahakama kuu ikiendelea.

Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi mmoja wanafamilia hiyoMgeni Ally Hatibu alisema kuwa wamekuwa wakifanyashughuli zao za kujipatia riziki kwa kufuatwa na askari wa...
Posted On Thursday, 20 December 2012 18:52
Waziri Akutana Na Bodi Za Ushauri Wa Magazeti Zanzibar
Na Mwanaisha Muhammed Maelezo Zanzibar 20/12/2012.


Waziri wa Habari  Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa magazeti mengi katika nchi   kunasaidia sana kuharakisha harakati za Maendeleo .

Aliyasema hayo huko ofisini kwake Kikwajuni  wakati alipokuwa akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bodi ya ushauri wa&...
Posted On Thursday, 20 December 2012 18:56
Hukumu Rufaa Ya Lema Ni Leo

Hukumu iliyosubiriwa kwa hamu kubwa juu ya ubunge wa Godbless Lema Inatolewa leo mahakama ya rufaa Dar es salaam...

Posted On Thursday, 20 December 2012 19:03
Magazeti Leo Ijumaa

 

Magazeti Leo Ijumaa

 

Magazeti Leo Ijumaa
Posted On Thursday, 20 December 2012 20:59
Kipanya Leo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 21:01
Pilika Asubuhi Dar...
Posted On Thursday, 20 December 2012 21:05
Hoja Tatu Kuamua Rufaa Ya Lema Leo

 Na:  James Magai- Mwananchi
HOJA tatu za msingi zinatarajiwa kutumiwa na Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, kuamua rufaa ya kesi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema katika hukumu inayotarajiwa kusomwa leo jijini Dar es Salaam.

Kati ya hoja 18 zilizowasilishwa na upande wa rufaa kupinga hukumu hiyo, zipo hoja
...
Posted On Thursday, 20 December 2012 21:08
Makamu Wa Rais Asaini Kitabu Cha Maombolezo Ya Kifo Cha Aliyekuwa Mbunge Wa Tabora Mjini- Siraju Kaboyoga 
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyonga, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Makamu alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita .
Makamu Wa Rais Asaini Kitabu Cha Maombolezo Ya Kifo Cha Aliyekuwa Mbunge Wa Tabora Mjini- Siraju Kaboyoga 
Ma...
Posted On Thursday, 20 December 2012 22:23
Sheria Mpya Ya Uvuvi Namba 7 Ya Mwaka 2010 Zanzibar Ya Jadiliwa
 
NA: RAMADHANI ALI/MAELEZO 

Washiriki wa semina ya Uelewa juu ya Athari za uvuvi haramu na udhibiti wake unaotokana na sheria mpya ya uvuvi namba 7 ya mwaka 2010 wameeleza kutoridhika na ushirikiano mdogo wanaopata kutoka Idara ya uvuvi.

Wakitoa michango katika seminailiyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Hoteli ya Zanzibar...
Posted On Thursday, 20 December 2012 22:33
JK.Akabidhiwa Hati Ya Bima Yake Ya Maisha Ikulu 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiushukuru uongozi wa  Shirika la Bima la Taifa baada ya kupokea hati ya bima yake ya maisha jana Ikulu jijini Dar es salaam.
JK.Akabidhiwa Hati Ya Bima Yake Ya Maisha Ikulu 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya Shirika la Bima la Taifa toka  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake  Bw. Justine Mwandu...
Posted On Thursday, 20 December 2012 22:37
Waziri Wa Habari Zanzibar Azindua Bodi Ya Tume Ya Utangazaji Zanzibar

Na: Ali Issa Maelezo Zanzibar
Waziri wa Habari Utamaduni, utalii na Michezo Zanzíbar Saidi Ali Mbaruok amesema wakati umefika sasa kwa wandishi wa habari wa Zanzíbar kupata nafasi ya kwenda nchi za nje kuitangaza Zanzíbar kiutalii kila itapo fanyika Maonyesho, makongamano na mikutano ya utaliiduniani. 

Hayo ameyasema leo huko Ofisini kwake...
Posted On Thursday, 20 December 2012 22:53
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
DAKTARI wa kitengo cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mbeya,Paul Kisabi (32), anayetuhumiwa kwa kupokea rushwa ya sh 100,000
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
Hapa daktari huyo akiwa na maafisa wa takukuru wakiingia mahakamani
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
Hapa Dr huyo akiongea na wakili wake
...
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa

Na: Mbeya Blog

DAKTARI wa kitengo cha upasuaji katika
Posted On Thursday, 20 December 2012 23:50

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi