We have 196 guests and no members online

Watumishi
Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Lema,Mbowe na nassari mahakamani

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Mawakili wakiwa kwenye viti vyao

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu...

Posted On Friday, 21 December 2012 00:00
Mitaa Ya Kati Iringa Leo
   Ni mitaa ya mashine tatu Iringa...
Posted On Friday, 21 December 2012 00:38
Vita Dhidi Ya Ufisadi CCM Sasa Basi, Imefika Tamati?

Na Josephat Isango
Vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM sasa vimekwisha. CCM wamehama vita vya jukwaani wamekuja magazetini na mitandaoni, vita imewashinda wamefikia tamati. Iwe wanachama wanakubali au hawakubali, lakini sasa vita hivi vimekosa kiongozi, vita dhidi ya ufisadi vimekosa kamanda, vimekosa mtu anayeweza kuwaambia wenzake twendeni...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 12:54
Nafasi Za Kazi Iringa


NAFASI ZA KAZI

DEREVA - NAFASI MOJA

►Awe amehitimu mafunzo ya udereva katika chuo cha serikali

Awe na uzoefu wa miaka 10 katika kazi ya udereva akiwa amefanya katika mashirika mbalimbali, yakiwemo ya umma.

► Awe na leseni ya Daraja C katika kipindi hicho cha miaka 10

►Awe na rekodi nzuri ya usalama barabarani

►Muadilifu, mwaminifu na anayefanya kazi k...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 13:05
Vitunguu Bei Poa
Njombe sokoni,hivi majuzi...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 20:45

Mkutano wa Pili Phenomenal Woman Wafanyika Jijini Dar es salaam 
Ruth Makombe, Head Retail and SMS Marketing, Banc ABC akionesha kadi za Debit kwa akina mama wafanya biashara wajasiriamali kutoka wilaya za Temeke, Ilala, na Kinondoni huku wengine wakitoka katika taasisi mbalimbali jijini Dar es salaam, Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa kanisa la City Christian Center Upanga jijini Dar es...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 20:49

UVCCM- Arusha Wapatiwa Elimu Ya Polisi Jamii 
Mkuu wa kitengo cha Polisi Jamii Mkoa wa Arusha Mrakibu wa Polisi Mary Lugola akitoa elimu ya ulinzi shirikishi kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Arusha katika ukumbi wa Golden Rose uliopo jijini hapa. 
            (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 20:54
Mashabiki Wakataa Wachezaji Weusi-Urusi
Mashabiki wa klabu ya Zenit St Petersburg inayoshiriki katika ligi kuu ya premier nchini Urussi, wametoa wito kwa wasimamizi wa klabu hiyo kutowasajili wachezaji weusi na wale wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Kundi kubwa zaidi la mashabiki wa klabu hiyo maarufu kama ''Landscrona'' limesema kuwa klabu hiyo limelazimishwa kuwasajili
...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 21:04
Arfi Atupa Kadi Ya Chadema Kikaoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuandamwa na migogoro baada ya jana kuibuka mwingine mkubwa katika kikao chake cha ndani mkoani Katavi kiasi cha kumfanya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Arfi, kutupa kadi yake ya uanachama.

Huu ni mgogoro wa pili mkubwa kuripotiwa katika kipindi cha juma moja lililopita baada ya
...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 21:13
Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi

Magazeti Leo Alhamisi...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 21:17
Mtangazaji Mwandamizi wa Dw, Josephat Charo jana  amebeshwa mikoba ya Othman Miraji aliyestaafu hivi karibuni. kulia ni sudi mnete  baada ya kutangaza wadhfa huo katika hafla maalum mjini Bonn.
@import url(http://www.google.com/cse/api/branding.css);

...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 22:16

Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha Amzawadia Tuzo Mwandishi Wa New Habari

NA: GLADNESS MUSHI -ARUSHA
MKUU wa Mkoa wa Arusha amemzawadia   tuzo ya uandishi bora  wa habari za jamii na maendeleo Meru , mwandishi wa habari  Mary Mwita   wa magazeti ya Mtanzania na Rai ya  Kampuni ya New habari (2006) LTD.

 Mkuu wa Mkoa huyo ametoa  tuzo hiyo ,ikiwa ni ahadi yake ,na agizo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 01:12

Zuku Yaingia Mkataba Na Kampuni Ya Max MalipoMsimamizi Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Max Malipo Bw, Ahmed Lusasi akionyesha Mashine ya kielektroniki Mbele ya Waandishi wa Habari mara baada ya Kuingia mkataba wa Kibiashara na Kampuni ya Zuku  leo katika Hoteli ya Blue Pearl  jijini Dar es Salaam juu ya Kampuni yao kuingia mkataba wa Kuuza Vocha za Zuku  ambapo leo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 01:24

Dk. Terezya Huvisa Aifungia Hotel Ya Double Tree Ya Jijini Dar es Salaam 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (wa kwanza kulia) akikagua mfumo wa maji taka katika Hotel ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwana na Dkt. Robert Ntakamulenga kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira...
Posted On Thursday, 20 December 2012 01:30
Wenyeviti Wa Mitaa Wafundishwa Polisi Jamii
 Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto akiongea na Wenyeviti wa mitaa ya halmashauri ya jiji la Arusha katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi lililopo jijini hapa
Wenyeviti Wa Mitaa Wafundishwa Polisi Jamii
Mmoja wa wenyeviti wa mitaa ya jiji la Arusha akielezea matatizo ya mtaa wake katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la...
Posted On Thursday, 20 December 2012 03:39

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi