We have 218 guests and no members online

Maji

Jocelyine Alipoibuka Mshindi Miss East Tanzania

Jocelyne Maro Mii East Africa Tanzania akipunga mkono kwa mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam akiwashinda warembo wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Ukanda wa Afrika Mashariki na nchi Jirani na Ukanda huo.

Jocelyne Maro...

Posted On Saturday, 22 December 2012 13:46

Lema Apokelewa Kifalme Arusha

Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.

Lema Apokelewa Kifalme Arusha

Lema Apokelewa Kifalme Arusha

Posted On Saturday, 22 December 2012 13:46
Naelekea Kijijini Mahango- Madibira
Na alfajiri hii naondoka kuelekea kijijini Mahango , Madibira. Nitaongozana na makamanda wangu, ingawa mmoja anaonekana hatoweza kufuatana nami kutokana na mafua.
Kule Mahango nitashiriki kukabidhi rasmi misaada ya kutoka kwa marafiki wa Norwich. Kutakuwepo na madiwani wawili; wakuu wa shule na watendaji. Tutajadili pia namna ya ushiriki wa
...
Posted On Saturday, 22 December 2012 09:17
Azua Taharuki Kwa Kupanda Nguzo Ya Umeme

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Shija Machiya (30), mkazi wa Kijiji cha Butulwa, Kata ya Old Shinyanga jana alizua kizaazaa, baada ya kupanda kwenye nguzo ya umeme ya njia kuu inayopeleka umeme mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu wilayani Kahama.
 
Machiya alipanda katika nguzo hiyo inayosafirisha umeme wa msongo wa KV 220 katika eneo la Ihapa...
Posted On Saturday, 22 December 2012 09:17
Magazetini Leo Ni Godbless Lema

Magazetini Leo Ni Godbless Lema

Magazetini Leo Ni Godbless Lema

Posted On Saturday, 22 December 2012 09:17
Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA

Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA

 Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa

Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA

 Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.

Posted On Friday, 21 December 2012 21:23

Makamu Wa Rais Dkt. Bilali Amjulia Hali Waziri Mstaafu Wa Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
...Unlock Your Entrepreneurship Power
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Balozi Mdogo Wa Msumbiji Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Wa Ccm Zanzibar.
Balozi Mdogo Wa Msumbiji Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Wa Ccm Zanzibar.
Balozi mdogo wa Msumbiji aliekuwapo Zanzibar Bernado Constantino Lidimba wakwanza kulia akifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa CCM Zanzibar wakati alipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wake,kulia yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mwengine ni Katibu wa Kamati Maalum ya Nec,Haji Mkemana...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
...
health 1   Taking good care of our health has become increasingly important I this day and age of processed food, genetically modified crops and polluted environment.A group of amazing people have arranged a special training on weight management and how you can attain a perfect weight in a health way.Don't post pone having a fit body. Once gone
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Wafanyakazi Wa Vodacom Wachangia Shillingi Milioni 50 Kusaidia Watoto Yatima.

Ni msaada kwa ajili ya kampeni yake ya ‘Pamoja na Vodacom msimu huu wa sikukuu

 Wakati maandalizi ya msimu huu wa sikukuu yakizidi kushika kasi, Kampeni ya ‘Pamoja na Vodacom’ bado inaendeleza ziara zake, ambapo kwa mwezi huu Kampeni hiyo imetenga zaidi ya shilingi milioni 50 kwa lengo la kuwafikia watoto yatima nchi nzima. Kampeni ya Pamoja...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Dk Slaa: Tunasubiri Taarifa Ya Arfi

 KATIBU mkuu wa Chadema, Dk Willbroad Slaa amesema chama hicho kinasubiri kupokea taarifa ya mgogoro unaofukuta ndani ya chama hicho mkoani Katavi na kusababisha Makamu Mwenyekiti wake Taifa , Said Arfi, kutupa kadi yake ya uanachama.

Ameeleza kuwa Katiba ya chama hicho inaeleza wazi kwamba unapoibuka mgogoro, unatakiwa kuripotiwa katika...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Vodacom Yatoa Zawadi Za Shinda Na Nokia
 Meneja Mauzo wa Duka la Vodacom Mlimani City, Salim Salmin (Kushoto) akimkabidhi mshindi
wa promotion ya Shinda na Nokia inayoendelea katika msimu huu wa sikukuu, Selemani Methusela,
mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam zawadi ya Nokia Asha 306. Makabidhiano hayo
yalifanyika kwenye Duka la Vodacom lililopo Mlimani City Dar es Salaam jana.

Vodacom Yatoa Zawadi Za Shinda Na Nokia
&...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23

Jerry Silaa Ndani Ya Hekalu Kuombea Amani
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wahindu Tanzania Bw. Ramesha Patel akimpokea na kumtambulisha mgeni rasmi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wakati alipowasili kwenye msikiti mkuu wa Dhehebu hilo ulioko jijini Dar es Salaam kwa shughuli maalum ya kuliombea taifa Amani.
Jerry Silaa Ndani Ya Hekalu Kuombea Amani
 Mstahiki Meya Jerry Silaa akilakiwa na kuvishwa shada la maua.

Jerry Silaa Ndani Ya Hekalu Kuombea Amani
Msta...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu